@fikraprustv: SHEIKH ILUNGA AHOJI “JE, BAKWATA NI WAISLAMU” ep2 Sheikh Ilunga aibua mjadala kuhusu nafasi, uongozi na uwajibikaji wa BAKWATA ndani ya jamii ya Waislamu. Je, BAKWATA inawakilisha kikamilifu matarajio ya Waislamu? Kuna maswali gani kuhusu uongozi na usimamizi wa masuala ya Umma yanayopaswa kujibiwa? Mjadala huu unagusa mustakabali wa taasisi za Kiislamu, umoja wa Waislamu na uwajibikaji wa viongozi wa dini. WEWE UNA MAONI GANI? JE, HOJA ZA SHEIKH ILUNGA ZINA MSINGI? #SheikhIlunga #BAKWATA #Waislamu #Uongozi #Uislamu #Mjadala #Albayaanatv#trending
HUYU NI MIONGONI MWA MASHEKHE WALIOKUA WANAYAJUA MAMBO MENGI SANA YA HII INCHI KUUSU UISLAM NA SIASA
2026-11-03 16:46:35
16
idrisa nikiyi :
huyu anaujua ukweli
2026-11-06 12:46:38
3
Commercial :
Allah akurehem sheikh ilunga🤲
2026-11-05 22:44:16
4
Msanifu Kombo :
Alafu watu wakisema mtu anasema Udini!!
2026-11-06 02:20:41
7
I can't forget October 29 2025 :
Sasa izi hotuba why kipindi ichi Kuna Nini nyuma ya hotuba izi ila CCM inalazimisha mambo ya udini kwenye Tanganyika yetu
2026-11-07 18:14:33
0
Asriya Aljabri :
Umetukumbusha yaliotupitia
2026-11-05 19:34:25
3
Naima Joffu :
ingenious
2026-11-03 07:05:11
4
Mengizomtupesa :
mnakumbuka miaka kama miwili au mitatu iliyopita yule mwanafunzi wa Kislam ostadhat aliambiwa aandike namba ya mwenzake ktk mtihani wake kisha rais akaaingilia kati,hivyo mwamba alikuwa mbele ya muda kuhusu haya mambo kikubwa umakini mazee
2026-11-09 11:49:40
1
team Tz :
kweli kabisa
2026-11-03 02:32:50
4
Abdi mohamed :
rahimahullah
2026-11-08 17:30:06
0
mo22fx :
اللهم غفر له ورحمه وادخله جنت النعيم
2026-11-12 19:39:26
0
HASSAN MATAULA :
innalilah
2026-11-07 13:30:21
0
Jumaa :
inna lillahi wainna ilayhi rajiun
2026-11-07 10:02:50
0
user8130742815872 :
allah humma izzal islam wall musliminnn
2026-11-07 17:55:18
0
Shilingi :
سبحان الله
2026-11-08 18:28:07
0
arifahmed8735 :
wizara ya ilimu toka enzi ya nyerere ndio aliepanga wafelisheni waislamu na wanyanyuweni wakristo hata akifeli
2026-11-13 06:09:36
1
mo :
DAH HUO NDIO MTIHANI KWETU WAISLAM BAKWATA MPOO
2026-10-31 19:21:45
3
Sudi Tafer :
ni waislamu ila sio waumini
2026-10-31 17:45:58
2
chief city :
wee mzee bwana
2026-11-01 07:10:22
1
kisoyoung :
hawa jamaa wapo Kwa ajili ya dunia sio akhera
2026-11-10 07:33:08
0
rash :
HOJA NIYA MSINGI KABISA
2026-11-09 10:24:49
0
swaum :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 18:15:21
0
simbaabdillah4 :
اللهم ادخله الفردوس برحمتك يا ارحم الراحمين اللهم نور قبره واجعله روضة من رياض الجنة يا كريم
2026-10-31 17:37:07
2
To see more videos from user @fikraprustv, please go to the Tikwm
homepage.