@360newz7: #fyp

360Newz
360Newz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 17:29:42 GMT
98847
3425
88
141

Music

Download

Comments

tebe_mgwani
TËBË MGWÄNÏ :
sisi mbona tulopewa na gsm kigamboni pale gsm mafundi
2026-10-31 19:48:31
7
mnondoramadhangma
[email protected] :
kweli kaka tajili anaogopa pesa yake napia anaiyeshimu
2026-10-31 18:17:07
20
mwinjuma83
mwinjuma :
kwa hili nakukubali sana sisi masikini ndio tunasifa za kijinga baada ya miaka kadhaa hatuna hela tumefilisika
2026-11-01 06:47:18
5
betty.chapa6
Betty Chapa :
Wale wanahela zao za asiri hazina mashart Acha watu waish maisha Yao kaka
2026-10-31 19:42:11
10
zingibari
zingibari :
Very true
2026-11-01 06:31:35
0
jamesmwilima512
JMwilima :
acha uongo mo na gsm ni pesa za watu wanaogopa kutunza ni watu wamechaguliwa kusimamia biashara za watu
2026-11-01 08:24:17
0
peter.james.kadud
Peter James Kadudu :
diamond
2026-10-31 20:00:30
0
dotto.peter84
Dotto Peter :
kaka nipe namba yako una akili kubwa
2026-11-01 06:09:41
2
jumapili356
Jumapili :
Wivu tu maisha ya mtu yanakuhusu nini?
2026-11-01 04:17:44
1
user8802385759962
binti salha :
wewe ninoma nakukubali tajiri
2026-10-31 18:32:15
6
minzamikomangwa
minzamikomangwa :
yess
2026-11-01 08:24:58
0
farhalovesyou
farharoshan :
Sio mpaka watu wote tufanane ndo maana kila mtu ana tabia yake tungekua wote tabia Ni moja tungeboreka
2026-11-01 07:39:18
0
sing_tst
Singh :
mimi nasubili harusi. yako
2026-10-31 20:02:53
1
user61593977447494
baba pietha :
kwer kaka umesema ukwer
2026-10-31 18:12:09
2
mavalaludewa1
Last born ✅️ :
kwahiyo zile siyo hela
2026-10-31 19:47:08
1
alienmnyama
Alien :
Gsm si aliwatunza mbogamboga bilioni 10 juzi tu.......
2026-11-01 08:19:13
0
user6123090229298
user6123090229298 :
Mama dangotee
2026-10-31 19:08:06
1
ibrahim.bernard7
Ibrahim Bernard :
kweli we noma
2026-10-31 18:59:51
1
alpha.twaha
scortt Official☠ :
hauwezi kumpangia mtu jinsi ya kutumia ela yake aliyo itafuta mwenyewe
2026-11-01 06:58:43
0
chuji261
chuji :
huu ni ukweli mtupu
2026-11-01 06:24:39
0
henrynuhu
henry :
ila nkweli
2026-11-01 07:22:11
0
rosefranktengarah
Rahma Tenga :
kweli
2026-11-01 07:11:25
0
issackmagartz2
Issack magari mwanza tz :
fact sana
2026-11-01 06:29:52
0
kisondela.kisonde
Kisondela Kisondela :
kila mtu anafanya anachokipenda jamani
2026-11-01 08:46:49
0
minzamikomangwa
minzamikomangwa :
ahahaaaa
2026-11-01 08:25:12
0
To see more videos from user @360newz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About