somo nzuri, tuonyeshe kushuka rasta, gripping the roots firmly
2026-11-01 22:48:05
0
BlackBerry hairdresser :
hii sio talent its long prosses ,and it has pain
2026-11-02 08:27:44
1
bestnailtech in westlands. :
Very good teacher
2026-11-02 08:55:55
0
Hadassa :
yaani niki juwa kusuka hiyo nitamtoleya Mungu sadaka
2026-11-01 12:31:03
10
little girl :
napenda unavyofundisha teacher🥰🥰
2026-11-01 18:55:43
1
@Anna-kiirya k :
Kazi nzuri lakin mimi sijaelewa😊
2026-11-02 09:15:12
1
jesca :
Mungu akutunze mwalim
2026-11-01 18:40:28
1
Amina zogolo :
Kuna kitu nimekiongeza balikiwa
2026-11-02 05:43:49
1
🫂🫂 :
mwalimu mimi pia najifunza,,natumia najaribu...nakubali kukosewa nawe mwalimu
2026-11-01 20:05:02
1
marthaamli01gmail.com :
WhatsApp unafundishia shingp
2026-10-31 21:02:42
1
Ireney :
Jamni mungu nisaidie na mm nipate kujua
2026-11-01 04:11:09
3
ANNA HAULE :
aseeeeeh mimi fundi kusuka napenda unavyowafundisha kwa umakini hapo kama mtu hata elewa atakuwa na shida zake upo vizuri nimependa Mungu akubariki kwa kazi nzuri endelea kuwapa ujuzi na kuinua vipaji vyao kakaangu
2026-11-01 21:21:41
1
😘tiffer beby :
waooo esta my best nimemuona yuko silias
2026-11-01 07:00:18
0
msuya :
niwap uko wanaitana mpenzi ninamuda sijaitwa ivyo nataka nije unifundishe na mm kusuka
2026-11-01 17:41:35
1
Salaah Joshua :
mim kusuka mbinjuwo unanishinda ila nii msusi nikisuka inakuwa na imetuna sjuw nakosea wap
2026-11-01 12:13:01
1
user82020319447362 :
kazi nimeipenda namimi nataka kujua kumsuka stchi nakonrwezi namekap nakufunga maremba nibeigani unalipia ada kwamwezi?
2026-11-01 05:24:19
1
Anita wisman :
ubalikiwe mwalim wangu mungu anituzie wewe kaka ang me nataka nije nijifuze lev munapatikan wapu me nipo tunduma plz🙏🙏
2026-10-31 23:05:34
1
Oliver Mkama :
Ubarikiwe nimeweza kusuka minyoosho kwaajil yako
2026-10-31 18:27:13
1
Sarah msusi :
asante
2026-11-01 05:18:25
2
Abby Gaby iratabara :
naitaki kujifunza
2026-11-01 16:10:06
0
Jenifer Abel :
nakutafuta
2026-11-01 17:41:33
1
mkongwa :
mbona hio ni rahisi sana ila mwalim anawafundisha njia ngum kupambiza tu nisipo san
2026-11-02 07:22:08
0
Regina Mumbua :
hio ni ngumu sio kama yangu
2026-11-02 04:17:50
0
Bryan Dennis :
Harakisha unamuumiza mteja
2026-11-01 17:47:21
0
user82020319447362 :
ada kwamwezi bei gani?
2026-11-01 05:25:49
0
To see more videos from user @samwely.mwinuka2, please go to the Tikwm
homepage.