@afyayamtaa: Leo katika Mahafali ya Pili ya Chuo cha Utangazaji cha Ujiji Broadcasting Academy @ubakigoma nimekutana na @salama_ngalemoja ya wachambuzi bora habari za michezo nchini amenipa madini kuhusu changamoto za msongo wa mawazo na namna bora ya kukabiliana nazo wakati wa masomo. 😎 Afya ya akili ni sehemu muhimu ya safari ya elimu! #mahafali #azamtv #views #Fitness #viral