@radiomariatanzania: ASKOFU MKUU DAMIAN DALLU AKIBARIKI CHUMVI KABLA YA UZINDUZI WA JENGO LA BWENI LA WAVULANA – CENTENARY SECONDARY SCHOOL, JIMBO KUU KATOLIKI SONGEA Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Songea, Mhashamu Damian Dennis Dallu, akibariki chumvi wakati wa Ibada ya kubariki Jengo jipya la Bweni la Wavulana katika Shule ya Sekondari ya Centenary, inayomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki Songea. Ibada hiyo ya kubariki jengo la bweni pamoja na miradi mingine ya maendeleo katika shule hiyo ilifanyika kabla ya kuanza kwa Misa Takatifu, iliyoadhimishwa katika viwanja vya shule hiyo, Jumamosi, Oktoba 31, 2026. . . . www.radiomaria.co.tz

Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 17:53:43 GMT
3155
373
7
3

Music

Download

Comments

deo62356
deo. 0123456 :
Amen 🙏🙏🙏
2026-11-01 08:04:09
1
stelladavid535
Stella z :
aminaaa tumshukuru mungu
2026-10-31 18:01:09
0
user7775978121287
userJUNIA RMY :
Amina
2026-11-01 08:08:45
0
leodgar.massawe
Leodgar Massawe :
Amina🙏
2026-10-31 19:33:44
0
sitak.demu
Kanumba8 :
Amina
2026-10-31 18:17:09
0
user29441556741942
user29441556741942 :
amina
2026-10-31 18:15:50
0
tekno.popo3
Tekno Popo :
🙏🙏🙏
2026-10-31 18:09:38
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About