@bab.mu77:

bab mu
bab mu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 19:10:33 GMT
162376
6218
395
177

Music

Download

Comments

yakobojacksonmgem
Boy J :
how region friends
2026-11-02 14:55:44
0
user7933937177752
Blessing✨️✨️ :
na plate number EQ gari bado mpyaaa
2026-11-02 07:55:55
0
imrosemary1
ROSE SIMBA 🦁 :
nilijua tu kama ni kigoma yetu 😭
2026-11-01 08:45:48
111
erastodeus702
shilatu :
is it Tanzania? I'm from kenya
2026-11-02 14:24:37
0
flying....girl
🎀 :
maskini dereva apo kakaza mpk pumb roho zawatu zifike salama daaah ila Tanzania 😓😓😓😓
2026-11-01 16:59:42
31
loml379
Loml♥️ :
Respect dereva
2026-11-01 16:33:41
0
loveness2854
Loveness :
mungu awasimamie madereva wote wa magar pikipk na baiskel awaepushe na ajali jamn da
2026-11-02 11:55:40
17
zena.issa8
Zenah❤️🧚‍♀️💜 :
Duuh!! Kwanini msingepitia Kule Lami
2026-10-31 22:06:34
7
kevooo8084748225096
kelvin :
hiii ndo tanzania yetu yaani hyo barabara toka njia panda ya kasulu mpaka uvinza kwa kipindi hiki cha mvua duuuu wadereva watachoka mpaka kuchaaa
2026-11-01 07:18:12
27
lovenes2381
lovenes💞💞💞 :
jaman mungu awatangulie kigoma yetu kasulu hapo
2026-11-02 11:58:54
3
user8281618476091
user8281618476091 :
Duh mbona barabara zimelekebiswa TANZANIA nzima imekuwaje huko tena
2026-11-02 21:44:16
0
jcute2525
pretty :
kwakweli Tanzania balabala mbovu zipo sehem nyingisana pongez kwamadereva wanajitaidisana namungu yupamoja nao[Pray]
2026-11-01 07:24:01
16
judith.zabron4
cool J💓🌹 :
Mkoa wangu Kigoma jaman😭😭lini tutakuwa sawa kwenye Barabara
2026-11-01 14:26:37
17
agymasogange
♥️🇹🇿Agymasogange🔥🔥🔥 :
hapa ndio pale tukasema hatutaki vyeti tunataka ujuzi
2026-11-01 06:42:17
10
usipendekunifwatilia02
THE SPECIAL ONLY CHILD OF PRIM :
mungu awasaidiag madereva wanapitia wakati mgum mno 😪😪
2026-11-01 17:25:09
1
yona.brand6
Yona brand📸 :
kigoma poleni mkonyuma sana kimaendeleo
2026-11-01 15:29:57
1
dimpoz_jr
Dimpoz_Jr :
he!! kumbe ni nyumbani 😅😅 wallah sikuzani kama hii ni kigoma
2026-11-01 11:28:43
2
naomy6093
naomy :
hyo panda uvinza hyo njia soi jaman mungu awasimamie
2026-11-02 13:47:29
0
gladness.samson1
gladness samson :
kama najiona nipo ndan ya gali
2026-11-01 03:28:14
7
mohamedallykimilo
muddyzoo :
apo basanza au
2026-11-01 19:43:23
0
imanlugalagu
lugalagu iman :
viongoz mtuonee huruma kigoma Barabara nibovu sana ajar ni za waz waz 🙏
2026-11-01 14:32:50
2
monic.momo1
Monic Momo :
Dereva naomba nishushe
2026-11-01 19:41:17
3
immabushy
Imma Bushy :
kwan huko lazima watu wasafiri kwa gari
2026-11-01 06:25:21
1
princess.dr0
princess dr :
maua yake dreva
2026-11-02 10:41:54
2
mariam.lumenyera
Mariam Lumenyera :
Hii sio nchi yetu tafadhali.Tuko uchumi wa kati.
2026-11-02 11:54:37
0
To see more videos from user @bab.mu77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About