DINI na MAPENZI ni Vitu ambavyo Havi-make Sense......
kama utatumia Logic kujadiri Lazima utakosa majibu.
2026-11-01 01:09:32
13
Dax voo :
SIRI ILIYOJIFICHA HAKUNA ANAYE IJUA PITA UNAPOONA SAHIHI
2026-11-01 05:42:07
22
(o)dates :
hilo swali ni more spiritual than literal ni swali Mungu ndo anaweza kulijibu sio mwili wa nyama na damu.
2026-11-01 04:07:02
28
Chacky Jr :
Suratul Al-Kahf (18:50)
Allah anasema:
وَإِذْقُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَفَسَجَدُوا إِلّا إِبْلِيسَۖ كَانَمِنَالْجِنِّ فَفَسَقَعَنْأَمْرِ رَبِّهِ
Maana yake:
"Na tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam! Basi wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikuwa miongoni mwa majini, akavunja amri ya Mola wake."
2026-11-01 09:45:37
1
Prince Couture Brand :
Jibu ni kwamba Shetani ni kiumbe kilichoumbwa kwa moto kabla ya (Adam) na alikua mwenye kuabudu vyema ama (m’bora) kabla ila baada ya kuumbwa kwa Adamu ambaye aliumbwa kwa udongo na Mungu akasema huyu ndie kiumbe bora zaidi (kiongozi) ibilisi (shetani) akaona jau kwakua alikiona ni kiumbe dhaifu na kitakacho shindwa kumuabudu Mungu kama walivyokuwa wao (Malaika na Majini) na Mungu akataka wamsujudie Adamu kwa heshima. Ila Mshikaji (Shetani) akagoma kumsujudia Adamu (kosa lake ni kukataa amri ya Mungu) sababu ni udhaifu wa Mwanadamu. Basi Mungu akampa adhabu yakumtoa peponi…Shetani akaomba kama Mungu unajivunia hiki kiumbe basi naomba nikijaribu ili siku ya adhabu niwe nawanadamu ambao unajivunia na akapewa hio nafasi yakuja kuwajaribu wanadamu. Ila Mungu anataka kujivunia kwamba viumbe wake ni bora licha ya majaribu wengi watamfwata yeye na umati huu wa mwisho ndio jamii bora maana itaamini/kufwatisha maamrisho ya Mungu kwakusikia historia tu maana hakuna Mtume mwengine.
2026-11-01 00:44:43
15
emmanuel847794 :
God of War
2026-11-01 06:37:36
0
Amani espoir kelvin :
sema sisi wacristo tumesha fungwa macho naakili ila ukweli vingi tumepigwa nawazungu.
2026-11-01 05:41:54
5
_izairo :
amna ambae anajua kitu apo😂
2026-11-01 01:43:10
4
Babu OMMY :
Kuna ustadh wetu pale aelew nin kinaendelea
2026-11-01 04:16:14
3
Samwel Kavishe :
Akuna shetani mwingine zaidi ya sisi wenyewe binadamu
2026-11-01 09:13:06
2
ruwaiman23 :
niwakumbushe tu uyo aliekuw malaika akabadilik akawa shetan ni alikuwa mtt w jinni siku moja malaika walitumwa kwend kuangamiz majin wanaumuas mung malaik moja alimuonea hurumaa huyo mtt w jin akampelek kwqa allah ili asamehew yy nikiumbe kichang ndo allah akamuwa kumuanch yule mtt w jinn n kundi la malaik ndipo siku malaik walipo ambiw wamsujudie allah yy akakataa sbb yy alikuw n miongon mwa majini walio aswi
2026-11-01 04:28:20
3
Anna john :
Mungu achunguziki kaka
2026-11-01 05:39:59
1
Kayoka 47 kucheka kwa malengo :
hilo swali ni more spiritual than literal ni swali Mungu ndo anaweza kulijibu sio mwili wa nyama na damu.
2026-11-01 08:54:56
3
Ozzy Yen :
naomba niongezee point ya msingi ambayo wengi wetu tunaicha sana kabla ya kuumbwa vyote mbingu malaika majini watu na kila kitu Mwenyez Mungu Aliiumba Kalamu ndo kitu cha kwanza kuumbwa na akaiamulu iandike mwanzo ili kalamu iliuza niandke nn eeh Mola wangu Mwenyez Mungu aliiamulu iandike mwanzo mpka mwisho yaan kila tunachokiona habari zotr tunazisikia maisha tunayoishi walioishi kabla yetu na watakayo ishi badala yetu yaan kila ktu tayar kisha andikwa naeza kusema maisha tunayoishi ni script iko writted before everything kwahyo maasi mambo mema watu waovu watu wema kila ktu kisha andikwa tunachofanya sisi n kutimiza hvyo basi hata la iblis kugoma kumsujudia Adam na mambo mngne yoote tayar yako katka maandishi....
NB: TUISHI TUSIKUFURU TUMWAMINI ANAYETUPA PUMZI KWAKUA KILA KTU KISHATABIRIWA HAPO KABLA... TUZILINDE NAFSI ZETU HII N MITIHANI TUNATAKIWA KUIVUKA LENGO LA KUUMBWA KWETU NI KUMUOMBA YETU HAYA MENGNE N MENGINEYO ILA LENGO KUU ALIETUUMBWA ANAHITAJI KUOMBWA NA KUTUZWA NOTHING ELSE....
2026-11-01 09:30:56
0
madinaibrahim :
mbona jini ana tamaa na hajaumbwa kama binaadam?
2026-11-01 02:09:43
5
. :
Na hapo ndo wanapochanganya malaika kamwe hawezi kwenda kinyume na maagizo ya Mungu majini na binadamu ndo wameumbwa kumuabdu Mungu na majini na binadamu wako karibu kuliko malaika na binadamu/jini malaika hawezi jiamulia kitu bila amri ya Mungu hawajaumbwa kufanya hivo ila hivi viumbe vingine wanaweza kufanya hivo na ndo maana Kuna ishu la Imani same way wapo binadamu wabaya na wazuri hivo hivo pia kwa majini
hapo mbona simpo tu kama sis Wana damu tuna zaliwa hatuna kitu chochote lakin tukikengeuka kila mtu anakua na Vitu vyake Anavo waza ndivyo hivyo shetan alikua na tamaaa zake
2026-11-01 04:49:42
0
aby_tz57 :
Kuna tofauti kati ya kugenerate na ku resemble ambacho tayar kipo mungu aliumba mwenyew na wala hakuwa towa sehem kama kundi kwahyo anajua ukomo wao na anajua nafas Yao kwenye uumbaji na si viumbe wenye uhai kama binadam ni nuru isiyoonekana kwa macho ya kibinaadam kwahyo si kwel kama alikuwa malaika je na malaika waliopo wanahaki ya kuingia tamaa pia kama shetani?
2026-11-01 03:48:57
0
Edson Erick :
ndo mana munaambiwa lisilo wezekana kwa mtu yyte kwa mungu linaqezekana
2026-11-01 08:13:04
0
Hashimu Makaveri :
hawaja mjibu swali huyujamaa wanazunguka zunguka tu
2026-11-01 06:41:55
3
Paulo Juma :
huwezi kutafsiri maana ya mungu.
2026-11-01 05:31:37
0
muzungu :
kutetea dini nikitu hakita wezekana kabisa hata ufanyaje
2026-11-01 05:09:28
0
beib086 :
Mchungaji kaishiwa pawa 😂😭💔
2026-10-31 23:36:06
4
To see more videos from user @dtzmedia, please go to the Tikwm
homepage.