@fraisstv: KAGERA BONITE: MVUTANO KATI YA MSIMAMIZI NA DEREVA BAJAJI Mvutano umeripotiwa eneo la Kagera Bonite, Moshi, baada ya msimamizi wa bajaji kudaiwa kumpokonya funguo dereva aliyekuwa amekodiwa kuwapeleka abiria waliokuwa na mtoto kuelekea Seema Hospital. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu mipaka ya mamlaka ya wasimamizi wa vituo vya bajaji. #FraisTV #FraisNews #FraisUpdate #Moshi

Frais Tv
Frais Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 20:04:25 GMT
185184
7622
410
209

Music

Download

Comments

hamisaabdulhamid3
hamisaabdulhamid5 :
sikuhizi unaweza kuuliwa anaetakiwa kukupa masaada anarecod
2026-11-01 08:50:45
106
wakilokolemc
Wakilokole Mc :
wadau safisjeni aonekane vizuli huyu
2026-11-02 12:20:43
6
dam40982
dam :
nahisi kesi yamauaji ikombeleyangu
2026-11-01 11:52:30
25
nuhbaby8
"𝕟𝕦𝕟𝕦 𝕕𝕠𝕝𝕝✨🦋 :
nmeskia hasira ya ajabu mbna km mimi ndio muhusika😂😂💔
2026-11-01 04:25:42
55
salemclean
Freeman🌴🗽 :
unamnyongea, nini, Uwiii Ananiua, ananipiga😅😅
2026-11-01 06:30:29
17
kingchagga
Nyeusi#King Chagga :
eeeeeehh mungu ni epushe hivi maana napewa kesi ya mauwaji
2026-11-02 13:16:41
9
eberech01
Don :
Kuna jamaa aliona aombe msamaha mwenyewe maana alianzisha vita ambayo hajui anaimaliza vipi?
2026-11-01 08:16:28
6
123456789chagamani1
KING FISHER 👑 :
ndomaaana sikosagi panga kilanilipo😁
2026-11-01 11:40:50
7
mtanzania360
barnaba :
walikuwepo kina richi wa wrong parking ila walipona huyo n nan mnamshindwa
2026-11-01 06:34:58
24
stephenejames5
Steve wonder 😃 :
yaan bongo unakufa na watu wanarekod
2026-11-02 11:27:38
5
lily.michaely
mr's madinga❤️💞❤️ og :
alaf camera man hujatulia bhn
2026-11-01 06:54:40
9
misszey19
misszaynab🧿 :
Aisee wasimamizi wa dereva bonitee ndio walivyooo wanaonaga kama wamemaliza alafu uyo dereva ni mdogo wangu sumaa
2026-11-01 08:03:24
11
miraclefrank19
Miracle frank :
huyo chalii ni mtu powa sana cjui kwa nni umemnyonga
2026-11-01 07:58:59
11
francmkufi426
🌴dax✂️traveler :
aaaah ananipigaaa uwiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
2026-11-01 07:00:52
5
user744248013227
mr🤑🤑🇱🇷🇱🇷🇱🇷 :
asee uliye rekod hii video umetisha sana 💯💯💯💯 hiii itakuw funzo Kwa wengn
2026-11-01 02:59:52
34
teamlabile6
T£AMℓAB!L£6____⚽🎶❤️ :
DOGO ANAJUA SHERIA KULIKO KIONGOZI WAO
2026-11-01 11:16:31
7
rachelkavishe799
Rachel Kavishe :
Marenga angalieni watu wakuwapa matangazo yenu jamaa kakosa busara sna
2026-11-01 08:28:39
6
allexanderlema7
AlexanderSon :
big up kwa dereva anajua hakizake na bila kumsa hau aliye record video kwaajili ya ushahidi😂
2026-11-01 09:30:24
6
neyalvin1
neemasempanga :
moshi hii hawa watu wanawaoneaga sn hawa vijana wa bajaji cjui sheria imekaaje
2026-11-01 05:08:26
7
ferrari82265
Ferrari :
aisee mimi kwenye chombo changu utaniuwa
2026-11-01 01:42:12
5
wish_saint
saint :
kinachoniumiza mtoto anaumwa
2026-11-20 05:54:09
1
tunda315
Tunda :
Bajaji ya ndugu yangu waliipindua mombasa pale na alikuwa na Abiria moja bega lika vunjika kwenda polisi wakamuweka ndugu yangu ndani Awa watu wanakula na maasikari ilitutoka ela ya kumutowa ndugu yetu ela ya abiria kufanyiwa upasuaji kioo kilivunjika kueka kioo kipya acheni mala ya kwanza walisema Awamujuwi baadae wakamupigia cm waje wamuoji uyo mtu wao Alipofika katowa maelezo Akaondoka ndugu yangu Alivyotoka wakamupa RB Eti Amutafute Akimupata Atamulipa garama zake wakati mala ya kwanza walimupigia Akaja wanyongee tunaonewa sana
2026-11-04 04:41:49
1
0783205509jay
jok :
camera man mbna ata utetei dereva wako jmn
2026-11-02 20:21:31
0
central.killer
Trice ❤️ :
Amueleweshe sio kumnyonga na kumpiga alivyofanya sio powa
2026-11-02 19:54:50
4
mr..kito
K̾I̾M̾ Y̾U̾ B̾r̾o̾ W̾a̾ Z̾ér̾o :
Kwan hpo n wap kwan
2026-11-01 15:03:37
1
To see more videos from user @fraisstv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About