@nabii_tengwa: NYAKATI SABA ZINAZOMUANDAA MPINGA KRISTO MWAKA 2026 SIO RAFIKI KWA WATU WASIOSHIKA NENO LA UNABII #2026 #sikuzamwisho #2026 #mpingakristo #dunia #kanisa

Nabii Tengwa
Nabii Tengwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 21:15:00 GMT
33203
1902
84
263

Music

Download

Comments

kdthelioness
Kadala :
Haya ndio mambo ninayopenda kuskia muda huu sio mambo ya pokea Nguvu ya kumliki mwaka huu mara piga wachawi yan utakatifu Hauna unapiganaje na wachawi jmn YESU tusaidie ubarikiwe sana Mwana wa Mungu 😥😥
2026-11-01 12:14:10
34
lainus89
lainus :
mbona leo nakutana na hizi video sana
2026-11-08 19:26:28
3
petytheboss
petythebos🌸 :
Mbona iz vdeo leo kila nikiscrow ni zenyew tu jaman 😳
2026-11-09 15:50:40
8
claudia.kayaya
Claudia Kayaya :
nakataa kujina layesu hakuna njaa tanzania
2026-11-01 12:52:18
8
peresjerome
Peres Jerome :
Mtumishi hizo nyakati zikimkuta mtu ajijue ameshamiss unyakuo, wakristo hatutamuona mpinga kristo wala utendaji wake![Pray]
2026-11-06 08:54:07
1
user5581849747499
Gatendeli :
mmh 2026 inaisha salama kabisaaa 😂
2026-11-01 11:41:43
5
jayden21q
jayden :
Mimi najiulizaga kwamba ivi kwanini Mungu aliruhusu kutoka kwa matatizo kama ayo
2026-11-01 17:16:09
2
emmanuemutra
EMMANUELI CHARLES MTRA :
KUNA WAKATI HUWA TUNADHARAU WATUMISHI ILA KUNA WAKATI TUNAHITAJI WATUMISHI WATUPE MANENO KAMA HAYO JE WEWE UNAODHARAU MTUMISHI KWA KUSEMA MANENO YA MUNGU JE UTAKUWA WAPI NA INATUPASA TUOMBE MUNGU SANA AFRIKA ANS HATUTETEE KWA HAYO YOTE YANAYOKUJA MBELE YETU MAANA BILA MUNGU SISI HATUWEZI KUFANYA JAMBO LOLOTE YESU NDIYE NAMBA MOJA DUNIANI JE YUPO KWENYE MAISHA YAKO NA JE UMEMPOKEA KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAKO
2026-11-08 19:25:07
1
kashindi101
Key kashindi :
Mungu tuhepushe naili
2026-11-10 12:23:37
0
james.francisco276
James Francis :
Mungu atusaidie
2026-11-01 13:22:13
1
user6015019466181
irine :
Kuja kwa yesu hakuna atakae juwa cku Wala saa, na ndy maana 2naambiwa 2keshe 2kiomba.[Pray]
2026-11-07 05:38:43
0
kean13182
KEAN :
You are told or it's written in the prophetic Holy scripture
2026-11-01 21:23:26
1
user3933035788346
jackizo :
eee yesu tusaidie sisi tulio wazaifu
2026-11-08 18:28:39
2
masaumsabi
MASAU MSABI :
kweli kabisa tupo nyakati za mwisho
2026-11-01 19:14:40
3
lucykidoti01
lucy kidotii :
Mungu yupo
2026-11-09 09:22:58
1
user4907822885878
GJos :
Bwana YESU uturehemu
2026-11-02 18:33:12
1
marthagodson6
martha godson :
kuna nn mbona watumishi wa Mungu wanaongelea ssnaa
2026-11-09 22:36:41
1
harunamdemu5
Manyessa Wisdom show :
AMEEN, WATU WA MUNGU WAFANYE NINI
2026-11-01 09:59:59
2
user390217887348
phija boy org :
ni kweli Mungu atutangulie
2026-11-01 14:51:02
1
aminaleornadi1
£mmy :
me Mwenye nimechoka naijetu
2026-11-09 17:18:13
0
amouc02
esther :
mungu asaidie watoto wangu
2026-11-11 15:59:00
0
esther6058
Erlie :
Nilifikiria kurudi kijijn kumbe napo patabdlk kuw mjini duh
2026-11-10 18:29:48
0
jaykamama
Jay Arshervin :
Namtegemea Mungu pekee
2026-11-10 13:15:37
0
demonvoice89
MSALITI :
Au niache kutafuta Hela
2026-11-11 18:05:34
0
user8659607372031
Doreen :
Amen
2026-11-01 12:48:18
0
To see more videos from user @nabii_tengwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About