@vivi_roma2025:

vivi_roma_
vivi_roma_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 21:22:51 GMT
95543
4695
195
256

Music

Download

Comments

sophee.kolosh
Sophee Kolosh Lumumba :
yani in short mwanamume anajipenda mwenyewe
2026-11-01 09:11:31
66
masoo.com
masoo.com :
Awe na mke asiwe na mke silazimishi mapenzi mana yakikataa yamekataa
2026-11-01 06:08:41
56
phya475
phya :
asa mbn wanakuwag na wivu tukiwa na wanaume wengn
2026-11-01 12:43:12
10
betina.simkoko3
betina simkoko❤️🦋😘 :
Alafu huwa wanajuga wako peke yao na zalau ju na kumbe mi mke najua michepuko wa Mme wangu mko wa3
2026-11-01 04:58:10
25
jackie_julz
Jackie_julz ❤️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mm ananiambia nimuamini[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 06:14:28
2
lulu.chuga
lulu chuga :
huwa tunajisahau sana sjui kwanini
2026-10-31 21:32:41
34
blandina495
Pochi nene💰🦋🤑🦋💸 :
Me nae nishavukaga huko🙌🤣🤣
2026-10-31 21:52:37
23
rehema_mchomvu
Rey Mchomvu :
yeye yuko kwa mkewe wa.ndoa na mie niko na wangu
2026-11-01 03:14:11
26
hilmy5332
Sherry :
Mm nimeona nitafute single mwenzng tu mana loh
2026-11-01 14:55:57
4
cutelizzy6607
Ms ~lizy❤️🔐 :
Mm kila siku kesi zangu ndo izo🥺
2026-10-31 23:13:22
20
user1738869372725
marim john :
kwan ndoa nn mm nipo na mume wa mtu ananipe kuzid hata mkewe
2026-11-01 09:02:16
3
bintsalim86
mammy mammy🥰 :
imagine
2026-11-01 09:13:47
0
g346387
G :
Wanawake ss hatujitambui sana
2026-11-01 06:40:12
5
monifaa399
monifaa399 :
sija angalia safir leo kweny azam two
2026-11-01 21:31:21
0
nivanah29
🌸𝑵𝒊𝒗𝒂𝒏𝒂𝒉🌸🍂 :
Ndo nimetoka kulalamika😂😂💔
2026-11-01 17:00:15
0
its.nuuh8
it's Nuuh :
mm niliwaundia group walikuwa 4 na mume wang tukawa mtu 6 ndan ya group moja tujuane vizur alafu hy michepuko kila mtu alikuw anajua anapendwa yeye nyieeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 12:17:33
0
cute.lizy63
quairaty💋👄 :
mbna kama nawew unapitia kama ninayo pitia jaman
2026-10-31 22:33:40
9
trucks6668
trucks :
jamn mbona me napendwa sana mpaka naogopa[Tears of joy][Tears of joy] na ni mme wa mtu
2026-11-01 11:20:47
0
minesh_8
minesh_8 :
😂😂😂😂🙌
2026-11-01 10:04:07
0
furaha.oddo
Furaha🌹🌸 :
yaaani wanaosemaa wanapendwaa kuliko mkewee yaaani wamechokaaaaa😅😅😅 sasa ni upendo gani huo wanetuu mnausemeeaa kupendwaa ni kuhudumiwaaa jmn😅😅
2026-11-01 14:23:51
1
miss.tina72
Miss tina :
Nani kagundua wanao pendwa kuliko wake zao wame fubaha baya wanachekesha 😂😂😂😂😂
2026-11-01 14:52:50
4
lilian.christophe3
Lilian Christopher :
nasisi tumefata sapot tu Wala sio mapenzi😂
2026-11-01 05:34:27
2
madamcush
mrs money cosmetics 💄 💄 :
twende mbele turudi nyuma 🤔 au twende tuu
2026-11-01 04:59:10
4
mungu32
neemadavid935 :
Hawajuagi nasi tulianziaga huko [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-01 06:42:28
3
twishazledfristus
Twishaz Ledfristus :
kwa kweli
2026-11-01 11:50:50
0
To see more videos from user @vivi_roma2025, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About