@mohamedhafidh_tz: Ungependa kupata taarifa kila mtu fulani anapoweka WhatsApp Status bila kulazimika kuingia mara kwa mara kuangalia? 👀 WhatsApp ina option inayokuwezesha kuwasha notifications za status kutoka kwa mtu unayemchagua. 🔔 Katika video hii nimekuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kuiwasha. Jaribu na wewe! Save video hii ili usisahau hatua zake, na mshirikishe rafiki yako ili naye ajifunze. 🚀 #foryou #fypシ #whatsappstatus #TechTips
Whatsapp account yang inakuwa banned after some time, na sielewi shida ni nin now nimefkisha namba tatu tofaut shida ile ile, msaada please
2026-11-05 13:30:32
0
gate keeper :
blue tick na grey tick . unawekaj
2026-11-01 08:37:18
1
johnmichae122 :
mm kaka nikiweka picha status hazionekani lake
2026-11-01 05:03:49
1
lucy Handarson :
kunawat wanaile tabia ya ku scrrnshot chatin au picha je inazuilika?
2026-11-06 12:55:11
1
John bayoo :
baba mkwee anadai hela yake na haujafungua tx 5 mkuu 😂
2026-11-03 06:06:19
3
maniga :
🥰🥰🥰
2026-11-01 09:05:52
1
kadugu :
😁😁😁
2026-11-11 19:52:59
1
FYADE KAMA FYADE :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman🥺🥺
2026-11-01 23:50:29
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.