@nijuzenews: Kwa nini nilinyimwa haki ya kumzika mtoto wangu? Mzazi wa mtoto aliyefariki Oktoba 29 ahoji Humphrey Isangya, baba mzazi wa Allen Humphrey (16), anadai mwanawe alipigwa risasi majira ya saa kumi jioni ya Oktoba 29, 2025, jijini Arusha. Anasema kuwa katika jitihada za kumtafuta mwanawe baada ya tukio hilo, alifanikiwa kupata kiatu chake pekee, huku mwili wake ukiwa haujulikani ulipo. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>>‎ https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com

Nijuze
Nijuze
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 04:21:55 GMT
94079
4365
809
173

Music

Download

Comments

blackpill56cosmetics
blackpill :
Hapa ndo najiuliza hiv Mungu yupo kweli🥺
2026-11-01 09:30:30
66
marcel.gerald
G classic wear :
hii isikie tu kwa mwenzako omba yasikukute😭😭😭
2026-11-01 05:12:25
167
rajabusamas
rajabu samas :
bro lipiza kisasi huruma sio malezi kama ulimuona alio muwa mtoto wako maan nashikwaga na hasira kwa mtu ambaye anayeumiza wengine kwa makusudi ata mungu atakusaidia unau familia nzima
2026-11-01 05:16:56
52
oscarkisanga
oscar jr 75 :
Brother pole san mm nisingeweza
2026-11-01 06:57:19
26
jacksonkija3
Bumalla Empire :
Brother samehe 7 Mara 70, your not alone, vita hii ni ngunu sana kamwe peke yako hutashinda ila kwa uwezo wa mwenyezi mungu pekee
2026-11-01 09:07:13
16
mikekijogoo
. :
UKISIKILIZA HADI MWISHO UNAWEZA TOA MACHOZI
2026-11-01 09:27:13
10
user3322031218118
mimihuyo :
😭😭😭HII KITU INAUMIZA SANA JAMANI. ALAFU KUNA MTU ANAJITOKEZA ANAKEBEHI WATU NA FAMILIA AMBAZO ZINAPITIA MAUMIVU MAKALI SANA KIASI HIKI. MUNGU AWAPE NGUVU JAMANI FAMILIA ZOTE. NI MAUMIVU MAKALI SANA KWAKWELI. KWA NINI WAAFRIKA TUNAPENDA MADARAKA HIVI MPAKA KUUA JAMANI😭?
2026-11-01 05:26:23
34
manase7724
zaituni :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭umeniliza
2026-11-20 22:57:40
0
user6168036363860
Eddie :
Malipo ni hapa hapa usijali Mungu yuko na wewe
2026-11-01 10:38:26
7
mjuni.matibu
Mjuni Matibu :
pole sana naelewa maumivu unayoyapata
2026-11-01 04:38:46
39
mamy.ayfan1
🍓 Farie qute💋 :
Sasa hiyo miili wameipeleka wapi jaman 😢😢dah mungu atajibu tu
2026-11-01 11:21:51
11
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
Haitaisha hata wasemajee wafinike watakavyofinika haifinikiki kamwee
2026-11-01 05:07:24
10
omarybacary
omarybacary :
pole san brother 😢 😢😭
2026-11-01 04:54:46
6
obed.charles1
Obed Charles :
Mungu simama nawatanganyika
2026-11-01 04:44:28
18
jaypopa25
jay popa :
Alafu kuna mtu anaongelea maridhiano wakati wananchi wana majonzi na huzuni hadi leo na wamenyimwa haki ya kuzika ndugu zao
2026-11-01 05:16:30
5
jimmytz29
Jimmy :
Pole sana kaka na familia, Mungu aendelee kuwatia nguvu.
2026-11-01 04:42:12
6
army.j54
Army J :
Pole mtz mwenzetu ni la mda tu yatapita. Kila aliyemwaga damu na yeye yake itaja mwagika. MUNGU hujihifadhia hakiba ya visasi kwa maadui zake
2026-11-01 04:53:17
9
17umm
echoooz :
Pole sana kaka, Mungu akutie nguvu ipo siku yatakwisha.
2026-11-01 05:02:26
7
tzeaglet3
RESPECT TZ 🇹🇿 🇹🇿 :
inauma sana
2026-11-01 04:39:43
6
saudawalale
Sauda Walale :
lbda ilikua ni bahati mbaya ....msamehe jamani
2026-11-02 05:00:15
1
mc.vullu
Mc vullu🎙️ :
Sijaelewa kwani ilikuaje mpaka akapigwa bastola na nn kilifanyika mpaka maiti pia usiipate ebu tueleze viziry
2026-11-02 21:06:23
0
judysebastian467
Judy Sebastian :
Pole sana baba mungu ata lipa tu
2026-11-19 12:49:51
2
iconictv0
iConic :
Alafu kuna mtu anasema kuna Mungu, Mungu anaangalia watu waovu wakiwatesa kuwaumiza mioyo na kuwaliza watu wenye haki. Alafu hapo hapo anasema tuwe wema kweli tuwe wema ili watu waovu waendeleee kutuumiza au Mungu anafurahia Watu wakiumia, kulizwa na kuuliwa Naamini lakini naona naenda kupoteza Imani juu ya Mungu Nisamehe Mungu wangu mwanao najiona nikienda kukugeuka 🥺
2026-11-02 17:19:52
1
mbangazaharani
Mbanga Zaharani :
wakati anasaini hiyo siraha ulikuwepo au unamjua mbona mnatiana kwenye majaribu vitu vingine tuongee na vinaja wetu kabla hayajatokea mabaya
2026-11-03 16:53:04
0
dayna_dayna12
Diane🌹☃️ :
Mungu anayaona machozi yako
2026-11-19 06:31:45
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

PHANTOM FERRARI 🏎️🔥 | Sidhu Moose Wala | Punjabi Song Edit | Sultaan Edits Experience the powerful vibe of Phantom Ferrari with this special edit by SULTAAN EDITS. Legends never fade. Sidhu Moose Wala’s music and legacy continue to inspire millions. ❤️‍🔥 🎵 OFFICIAL SONG CREDITS Song: Phantom Ferrari Artist: Sidhu Moose Wala Music Composer & Producer: Intense Lyrics: Sidhu Moose Wala Music Label: Saga Music ℗ © 2026 Saga Music 🎬 EDITING CREDITS Editing & Visual Presentation: Sultaan Edits All music and original content rights belong to their respective owners. 🔔 Subscribe to Sultaan Edits for more Punjabi music edits, cinematic shorts, movie edits and sports videos. 🌐 All Platforms: https://linktr.ee/sultaanedits ⚠️ Copyright Disclaimer – Section 107, Copyright Act 1976: This video is created for entertainment and promotional purposes. Copyrighted material belongs to its respective owners. No copyright infringement is intended. Fair use may apply for criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, or research. All rights remain with their respective copyright owners. If you are a copyright owner and have concerns, please contact us for resolution. Phantom Ferrari, Phantom Ferrari Sidhu Moose Wala, Sidhu Moose Wala, Sidhu Moose Wala new song, Sidhu Moose Wala songs, Sidhu Moose Wala status, Sidhu Moose Wala edit, Punjabi songs, Punjabi music, Punjabi song edit, Moose Wala fans, Moose Wala status, Sidhu Moose Wala shorts, Phantom Ferrari edit, Punjabi viral shorts, Sultaan Edits #PhantomFerrari #SidhuMooseWala #SidhuMooseWalaSongs #SultaanEdits #PunjabiMusic

𝒀𝒐𝒖 𝒎𝒆𝒂𝒏
𝒀𝒐𝒖 𝒎𝒆𝒂𝒏 "𝒂𝒖𝒕𝒉𝒐𝒓𝒊𝒕𝒂𝒕𝒊𝒗𝒆 𝒈𝒖𝒚 𝒐𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕" 𝒇𝒐𝒓 𝒏𝒈𝒂𝒕𝒂𝒔𝒊𝒏 _ 𝒃𝒂𝒅 𝒅𝒂𝒚 _ 𝒚𝒆𝒔? 😎* 𝑳𝒆𝒕 𝒊𝒕 𝒔𝒕𝒊𝒍𝒍 𝒍𝒐𝒐𝒌 𝒇𝒊𝒓𝒎 + 𝒄𝒐𝒏𝒇𝒊𝒅𝒆𝒏𝒕 𝒆𝒗𝒆𝒏 𝒕𝒉𝒐𝒖𝒈𝒉 𝒂𝒈𝒂𝒊𝒏 _ 𝒃𝒂𝒅 𝒎𝒐𝒐𝒅 _, 𝒕𝒉𝒆 𝒌𝒆𝒚: 𝒔𝒊𝒎𝒑𝒍𝒆, 𝒏𝒆𝒂𝒕, 𝒂𝒏𝒅 𝒏𝒆𝒖𝒕𝒓𝒂𝒍 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓. 𝑨𝒖𝒕𝒉𝒐𝒓𝒊𝒕𝒂𝒕𝒊𝒗𝒆 𝒐𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕 = 𝒎𝒂𝒌𝒆 𝒑𝒆𝒐𝒑𝒍𝒆 𝒂𝒖𝒕𝒐 𝒓𝒆𝒍𝒖𝒄𝒕𝒂𝒏𝒕. # # # * 3 𝑭𝒐𝒓𝒎𝒖𝒍𝒂 𝑶𝒖𝒕𝒇𝒊𝒕 𝑩𝒐𝒚 𝑨𝒏𝒕𝒊 𝑩𝒂𝒅 𝑫𝒂𝒚 * * * 1. 𝑺𝒎𝒂𝒓𝒕 𝑪𝒂𝒔𝒖𝒂𝒍 𝑪𝑬𝑶 𝑴𝒐𝒅𝒆 * * 𝑴𝒂𝒌𝒆 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒆𝒈𝒆, 𝒘𝒐𝒓𝒌, 𝒐𝒓 𝒉𝒂𝒏𝒈 𝒐𝒖𝒕 𝒃𝒖𝒕 𝒔𝒕𝒊𝒍𝒍 𝒓𝒆𝒔𝒑𝒆𝒄𝒕𝒆𝒅 - * * 𝑻𝒐𝒑: * * 𝑷𝒍𝒂𝒊𝒏 𝒐𝒙𝒇𝒐𝒓𝒅 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒏𝒂𝒗𝒚, 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌, 𝒐𝒓 𝒘𝒉𝒊𝒕𝒆 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓. 𝑹𝒐𝒍𝒍 𝒖𝒑 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒍𝒆𝒆𝒗𝒆𝒔 𝒂 𝒍𝒊𝒕𝒕𝒍𝒆. - * * 𝑺𝒖𝒃𝒐𝒓𝒅𝒊𝒏𝒂𝒕𝒆: * * 𝑪𝒉𝒊𝒏𝒐 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 / 𝒂𝒏𝒌𝒍𝒆 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒌𝒉𝒂𝒌𝒊 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓, 𝒄𝒉𝒂𝒓𝒄𝒐𝒂𝒍, 𝒐𝒓 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌. 𝑵𝒐 𝒕𝒐𝒓𝒏. - * * 𝑺𝒉𝒐𝒆𝒔: * * 𝑳𝒐𝒂𝒇𝒆𝒓𝒔, 𝒄𝒉𝒆𝒍𝒔𝒆𝒂 𝒃𝒐𝒐𝒕𝒔, 𝒐𝒓 𝒄𝒍𝒆𝒂𝒏 𝒘𝒉𝒊𝒕𝒆 𝒔𝒏𝒆𝒂𝒌𝒆𝒓𝒔. - * * 𝑬𝒙𝒕𝒓𝒂: * * 𝑳𝒆𝒂𝒕𝒉𝒆𝒓 / 𝒔𝒕𝒆𝒆𝒍 𝒘𝒂𝒕𝒄𝒉 + 𝒔𝒖𝒏𝒈𝒍𝒂𝒔𝒔𝒆𝒔. * * * 𝑽𝒊𝒃𝒆𝒔: * * * 𝑪𝒂𝒍𝒎 𝒃𝒖𝒕 𝒅𝒐𝒎𝒊𝒏𝒂𝒏𝒕. 𝑩𝒂𝒅 𝒅𝒂𝒚 𝒊𝒎𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂𝒕𝒆𝒍𝒚 𝒔𝒕𝒆𝒑𝒑𝒆𝒅 𝒂𝒔𝒊𝒅𝒆. * * 2. 𝑴𝒊𝒏𝒊𝒎𝒂𝒍𝒊𝒔𝒕 𝑴𝒐𝒏𝒐𝒄𝒉𝒓𝒐𝒎𝒆 * * 𝑻𝒉𝒆 𝒆𝒂𝒔𝒊𝒆𝒔𝒕 𝒃𝒖𝒕 𝒕𝒉𝒆 𝒆𝒇𝒇𝒆𝒄𝒕 𝒊𝒔 𝒔𝒕𝒓𝒐𝒏𝒈 - * * 𝑻𝒐𝒑: * * 𝑩𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒄𝒓𝒆𝒘 𝒏𝒆𝒄𝒌 / 𝒉𝒆𝒏𝒍𝒆𝒚 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒇𝒊𝒕 𝒐𝒏 𝒃𝒐𝒅𝒚, 𝒅𝒐 𝒏𝒐𝒕 𝒐𝒗𝒆𝒓𝒔𝒊𝒛𝒆𝒅 - * * 𝑩𝒐𝒕𝒕𝒐𝒎: * * 𝑩𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒎𝒂𝒕𝒆𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒑𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒐𝒓 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒘𝒂𝒔𝒉 𝒔𝒍𝒊𝒎 𝒇𝒊𝒕 𝒋𝒆𝒂𝒏𝒔 - * * 𝑶𝒖𝒕𝒆𝒓: * * 𝑶𝒗𝒆𝒓𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒐𝒓 𝒄𝒉𝒐𝒓𝒆 𝒋𝒂𝒄𝒌𝒆𝒕 𝒎𝒂𝒕𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒄𝒐𝒍𝒐𝒓 - * * 𝑺𝒉𝒐𝒆𝒔: * * 𝑩𝒐𝒐𝒕𝒔 𝒐𝒓 𝒇𝒖𝒍𝒍 𝒃𝒍𝒂𝒄𝒌 𝒔𝒏𝒆𝒂𝒌𝒆𝒓𝒔 * * * 𝑽𝒊𝒃𝒆𝒔: * * * 𝑴𝒚𝒔𝒕𝒆𝒓𝒊𝒐𝒖𝒔, 𝒇𝒐𝒄𝒖𝒔𝒆𝒅, 𝒏𝒐𝒕 𝒎𝒖𝒄𝒉 𝒅𝒓𝒂𝒎𝒂. * * 3. 𝑶𝒍𝒅 𝑴𝒐𝒏𝒆𝒚 𝑪𝒍𝒆𝒂𝒏 𝑳𝒐𝒐𝒌 * * 𝑬𝒙𝒑𝒆𝒏𝒔𝒊𝒗𝒆 𝒍𝒐𝒐𝒌 𝒘𝒊𝒕𝒉𝒐𝒖𝒕 𝒃𝒊𝒈 𝒍𝒐𝒈𝒐 - * * 𝑻𝒐𝒑𝒔: * * 𝑵𝒆𝒂𝒕 𝒑𝒐𝒍𝒐 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕 𝒐𝒓 𝒆𝒂𝒓𝒕𝒉 𝒕𝒐𝒏𝒆 𝒍𝒊𝒏𝒆𝒏 𝒔𝒉𝒊𝒓𝒕: 𝒐𝒍𝒊𝒗𝒆, 𝒄𝒓𝒆𝒂𝒎, 𝒎𝒐𝒄𝒄𝒂 - * * 𝑩𝒐𝒕𝒕𝒐𝒎: * * 𝑷𝒂𝒏𝒕𝒔 𝒎𝒂𝒕𝒆𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒔𝒕𝒓𝒂𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒖𝒕 𝒃𝒆𝒊𝒈 #berwibawadulubaddaykemudian #outfitideas #onemillionviews #style #unfreezemyacount

About