@sautizakanda: 🇷🇺⚓️Manowari ya nyuklia ya Urusi Generalissimo Suvorov imefanya jaribio la kurusha kombora la balistiki la Bulava ikiwa chini ya maji katika Bahari ya Okhotsk, na kufanikiwa kufikia eneo lililolengwa kwa muda uliopangwa. Tazama video kufahamu zaidi. #urusi #manowari #sautizakanda