@treykar_pro: #mwangaza💡 #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿

Trey Pro
Trey Pro
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 05:03:58 GMT
223366
24848
205
197

Music

Download

Comments

_.ria._01
_.ria._01 :
Najua haiwahusu...Ila Millard ni mkatoliki
2026-11-03 13:42:59
0
prince.bonny7
BoNgE la TeKe🫵 :
Millard tumesoma chuo moja Arusha
2026-11-01 08:39:31
26
fedelakhan
fedelakhan :
tajili akitoa ushuuda
2026-11-01 06:29:08
273
dmoney.ommry
D empire :
bro ungenitaja tu jina maana nipo hapa
2026-11-01 09:10:02
109
monsuly2728
Official_Monsuly 👣 :
Sometime maisha yanaendelea .
2026-11-01 06:25:41
52
indianlazeezq5
Indianlazeezq :
walio kukataa ndio wamefanya kuwa wew millard ayo leo..
2026-11-01 13:58:06
17
kelvinejr1
kelvne willy :
th real meaning of never gv up
2026-11-01 07:49:03
65
user5610607791838
user jiwe tuele :
mafanikio kwa kweli hayaji vile tunajua sisi.
2026-11-01 11:58:43
20
user3390743636093
Which Country Is This..? :
Which country is this.
2026-11-02 05:18:15
8
eradius23
ERAD :
mm ndo uyo jamaa mwngne
2026-11-01 06:38:11
35
hans_perez_
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
Maisha nyie acheni kabisa watu wanatoka mbali sana
2026-11-02 04:56:02
9
francohaule
franco haule :
Uyu nani tena
2026-11-01 18:43:08
17
zainab.jamal13
Zainab Jamal :
niowe mm jmn nitakuxalia wala sio mrembo ni wa kawaida tu
2026-11-01 22:09:34
5
johnkimune
john Isaac :
watu wanatoka mbali sana jamni
2026-11-01 11:01:39
10
micdimpoz
Mic Dimpoz delicious cake :
Asee niliwahi omba kazi sehemu moja hivi nahisi vyeti vyangu vilitupwa kwenye dust bin mpaka leo naumiaga itakua ni story mpaka kwa wajukuu zangu 😭😭kwenye maisha mtafutaji hachoki haya maisha duuh!!!😭😭
2026-11-02 09:55:20
7
hesa_urembo_point
Hesa skin care :
Usikute aliekukataa nae anakutazama 😂anasema moyoni namjua Huyu 😂
2026-11-01 14:59:36
11
unicekihi0
unicek78 :
jaman hamna safari rahisi acheni tyu haya maisha daah!!!
2026-11-01 10:48:51
11
user2637676148195
user2637676148195 :
usimdharau mtu.....
2026-11-01 11:14:32
14
blessedsteph_
Memestore :
Imagine watu waliokuwa wanadaiwa na lazaro walichukuliaje swala la Yesu kumfufua
2026-11-01 19:19:48
7
hassanivuai4
hassanvusi25 :
naamini asaiv wote wale waliokwambia hivyo wanaona wivu wa maendeleo yako
2026-11-01 11:02:25
9
magrethykatengu
habari njema :
Redio ya Dini Upendo mpaka leo wakikuona wanakukumbuka
2026-11-01 20:04:46
6
queenelly05
Queen👸♥️ :
mm pia nilitumia iyo kuomba kujitolea kwa nia ya kuomba kaz dah nikafanikiwa kwenye hilo
2026-11-01 13:29:27
11
user2188437661086
mamy blessing :
huyu nmeanza kumuona ITV zaman san alikua anatangaza habar za michezo
2026-11-01 11:59:26
9
user68610715972675
Joramu laurnt :
hiyo radio ya dini ni wapo radio wakati huo ilikua kurasini , chini ya Silivester Gamanywa, sasa hivi ipo mbezi beach daresalaam Jogooo
2026-11-01 17:19:47
7
yonahmadembo
Yonah Madembo :
wapo mission 🤣🤣🤣
2026-11-01 10:42:29
10
To see more videos from user @treykar_pro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About