@ghazal.tv1: GHAZALONLINETV — WEMA UNAO DUMU Karibu GHAZALONLINETV, kituo kinachokuletea habari, mawaidha, elimu ya Kiislamu, Maulid, Qaswida, Qur’an na matukio mbalimbali kutoka Tanzania na sehemu nyingine. TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU: ▶️YouTube: GHAZALONLINETV Instagram: GHAZALONLINETV Facebook: GHAZALONLINETV TikTok: GHAZALONLINETV SUBSCRIBE • FOLLOW • LIKE • SHARE Usikose video, live na matukio yetu mapya. GHAZALONLINETV — WEMA UNAO DUMU #Ghazalonlinetv #WemaUnaodumu #IslamicMedia #Kiislamu #Maulid

GHAZAL ONLINE TV
GHAZAL ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 05:07:04 GMT
16090
1264
30
253

Music

Download

Comments

madamasia_style24
madamasia_style24 :
corde zimekuwa nyingi mwisho tutakuwa waganga wa vitabu subhanallah .ALLAH ATUSTIRI
2026-11-01 14:08:07
2
_zaidi01
Hussein :
mi mwex mzima nasoma nariya 11 kila siku.naushahid nao biashara yangu inaenda balaa
2026-11-01 13:37:09
5
panjolee2
panjo-lee :
Mkizipost Kama izi tuandikieni na ss …. 🫠
2026-11-01 17:36:20
0
mwanamisialii
mwanamisialii :
Al- Naariyah x100, Bismillahi Rahmaani Raheem x100, Astaghfirullah waaatuubu ileyhx100, Ayatul Qursiyuh x50/70/170/1000 Asubui na jioni for 40 days
2026-11-01 13:41:57
4
user281141133066
python python :
swal ya nariyy ya saa ngap? kipnz
2026-11-01 09:37:57
0
mama.aisha571
Mama Aisha :
Adam alaikum warahmatullah wabarakatuh baba naipenda sana alakini unasombiyo tutiliye maandishi tafadhali tukijifunza utakuwa napata thawabu Inshaallah
2026-11-01 14:12:58
0
user747446233793
mwanajuma mwanajuma :
sallallahu aleyh wasalaam sallallahu 🤲🤲🤲
2026-11-01 06:42:48
1
liwalo25
liwalo :
tulizo la Shifa zote
2026-11-01 18:57:35
0
bint.hamid2
🦋 :
2026-11-01 11:38:58
2
mammy0411
mammy🥰😍🤩 :
tuandikie
2026-11-01 09:14:15
1
user281141133066
python python :
na mm nijue
2026-11-01 11:23:32
0
user473019102537
💕wabal💕 :
shekhe kasema uzur kabisa ila vipenz kama hamuwezi mara zote izo dumu nayo kwa mara kumi kila siku usikose na faida utazipata telee ammin 🤲
2026-11-01 18:00:29
1
dahuu303
DA HUU 💅💅💅 :
kiboko hiyo
2026-11-01 08:09:49
0
regeye24
regeye24 :
❤️❤️❤️
2026-11-01 06:48:58
0
mwaju282
Mwaju282 :
♥️♥️♥️
2026-11-01 12:43:03
0
To see more videos from user @ghazal.tv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About