maswali ya dini hayaulizwi tiktok mashehe sio content creator
2026-11-01 19:33:57
0
maxwellmax766 :
Tatizo ni kuwa hawana jibu
2026-11-01 08:07:09
26
Gari yako fahari yako :
tuko programming dada
2026-11-01 18:06:19
0
Joh :
Tumsifu Yesu Kristo
2026-11-01 09:01:29
63
diana :
good girl
2026-11-01 20:13:36
0
GOD ONLY :
dada hawapendi kujifunza na wanaishi na chuki hawa watu ukweli hawapendi pia kujifunza ila kubishana tuu
2026-11-01 08:35:09
36
Abdurahman Msafiri [شيعي] :
NI SAHIHI KABISA USEMALO WENGI WAMEKUA NA MIHEMKO SANA
2026-11-01 08:23:54
35
paulrt :
God bless you my sister from another mother
2026-11-01 08:38:33
12
daruwesh dube :
dini ya kiislam haikashifiki kwa sabab hakuna kasoro ktk dini hii kila kitu kina jibu lake ktk dini yetu. anaejiona ana swali na akahisi halijibiki aniulize. anaepanik hajui dini yake, wasomi hawapanic, utajibiw na utatosheka
2026-11-01 17:51:07
6
ramsey Rmsy :
dada samahani Kwakukusaidia tu Ili nawe usiingie kwenye matatizo na Mola wako uliza swali sehemu sahihi mfano Kuna Shekhe Yuko online muulize au nenda Darasani ukipata jibu tuma kwenye mtandao wengine wafaidike lakini ukiuliza sehemu ambayo hauwezi pata majibu hautapata majibu
Tazizo ni kwamba, mnauliza maswali ma content creator, ulizeni walimu.
2026-11-01 08:40:56
7
usermagda kai :
wonderful
2026-11-01 17:50:45
0
Roofers_mabati :
njoo kwa Yesu dada mzuri
2026-11-01 08:24:03
10
mary REUBEN MWADZINE :
Hawapendi kuambiwa wanajiona wko right 🤣🤣🤣
2026-11-01 07:20:14
11
paulrt :
mambo ya Mungu sy ya kuficha kama dhahabu
2026-11-01 08:40:39
6
NYAKO DECOR :
Unauwelewa mkubwa sana we Dada
2026-11-01 09:10:13
5
JR🇹🇿 :
koz wanaakil wanajua anae kejel na anae uliza kujua
2026-11-01 08:56:08
3
shekhe salumu :
waganga wengi ni waislamu kwa sababu majini wengi ni waislamu na majini umchagua binadamu wafanye nae kaz ya kutibu kwa lengo la kusaidia watu kwa sababu awawez kufanya hiyo wao kama wao kama unalengine uliza
2026-11-01 08:57:11
2
shabani Ramadhani :
kwan wew unauliza swal ni muisla au mkristo
2026-11-01 12:10:07
2
Baby love 💯😘 :
Facts💯😅
2026-11-01 13:19:23
1
𝐊𝐀̂Ł𝐈́𝐍̃𝐆𝐀̈~wă~𝐈MĄŅ𝐈✝️ :
𝗝𝗘𝗦𝗨𝗦 𝗖𝗢𝗠𝗜𝗡𝗚🙏🧎✝️
2026-11-01 17:32:34
4
To see more videos from user @charmy.babysalma, please go to the Tikwm
homepage.