@swiiftiphonecenter: 📞 UNAJUA SIMU YAKO INAWEZA KUPOKEA CALL AUTOMATICALLY BILA KUGUSA KITufe CHA KUPOKEA? 😳 Kuna setting kwenye simu yako inayokuwezesha kujibu simu zinazoingia automatically, bila kubonyeza kitufe cha kupokea! Ni feature inayoweza kukusaidia ukiwa unaendesha gari, unafanya kazi au unatumia earphones. 🔥 📱 Leo nimekuonyesha jinsi ya kuiwasha kwenye simu yako. 👉 SWIPE LEFT / FUATILIA HATUA ili ujifunze jinsi ya kufanya hivyo. 💾 SAVE hii tutorial kwa matumizi ya baadaye. 📤 SHARE na mtu ambaye hakujua kama feature hii ipo. 💬 Je, ungependa simu yako ijibu calls automatically? Follow @swiiftiphones kwa tricks na siri zaidi za iPhone na Android! 🚀 #SwiiftiPhoneCenter #iPhoneTips #AndroidTips #TechTipsTZ #SmartphoneTricks
Mmmh mbn hiii niya mtu binafsi asipo pokea cm baada ya dakika tatu cm itaji pokea yenyew jmn 😂😂 kama utaki kupokea cm ya ex unashangaa after three minutes cm imejipokea 😂😂
2026-11-01 08:29:33
2
ice bar :
unyama kaka
2026-11-01 07:49:28
2
ally salim jdhuma :
simu yangu ni samsung A07
2026-11-01 10:25:40
1
Sally lips 🇹🇿♏️🌸 :
Nimecheka nimekwisha mimi 😂😂😂😂😂😁
2026-11-01 09:57:29
1
Rashid Omary :
android
2026-11-01 09:21:13
1
Tea Tz :
sisiongei
2026-11-01 07:39:55
1
Young Millionaire tz🇹🇿 :
Samsung
2026-11-01 09:32:49
1
mr.misifa🤠 :
na sisi watumiaji wa Samsung tunafanyaje
2026-11-01 07:54:14
1
🦋aiem sweet Khan 😜♥️ :
Mbn ijajipokea jamn😂😂😂😂
2026-11-01 10:41:13
0
❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️mamy rei :
samsung
2026-11-01 09:51:31
1
Walter mushi :
mi naitumia pixel nafanyaje?
2026-11-01 12:43:50
0
Rashidi Mohammed :
kwa pixel je
2026-11-01 10:20:57
0
Naima David💙 :
android
2026-11-01 12:18:28
0
mage mage :
mmmh sasa kama uyo alie nipgia ananidai na stak kupokea si umeniponza😂😂😂
2026-11-01 12:36:09
0
phiphi🦋🦋 :
Mchumba angu asione hii
2026-11-01 12:18:36
0
Victor emanuelii :
android
2026-11-01 11:30:56
0
kelvin 95 OG :
ZTE
2026-11-01 11:35:17
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.