@seramedia_tz: kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Wakili Alute Mughwai Lissu, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 1, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na dada yake, Rose Masesa. ​Akizungumzia chanzo cha kifo hicho, Rose amesema kwa sasa hawezi kutoa maelezo zaidi, huku akithibitisha kuwa msiba upo jijini Arusha na kwamba anaelekea huko. Alute amefariki zikiwa zimepita siku chache baada ya kufanya mahojiano na The Chanzo kuhusiana na mustakabali wa kaka yake kutolewa gerezani.#seramedia_tz #seramedia

sera media
sera media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 07:14:08 GMT
4697
158
5
7

Music

Download

Comments

vaps49
vaps49 :
Dot connected🙏🙏🙏
2026-11-01 09:21:36
1
rashmamohammedi42
Rashma Mohammedi :
mungu ndokilakitu
2026-11-01 08:25:30
1
hidayajosephkaguo
👣🪫wanda girl🎹🎸🎤🎧🎼🥁 :
2026-11-01 08:18:43
1
amanii753
amanii753 :
Wamemmaliza
2026-11-01 09:33:30
0
fledymwenda
bm mwenda🌺🌺🌺🌺 :
@😢😢😢😭
2026-11-01 09:24:54
0
To see more videos from user @seramedia_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About