@madiniplus_: Salim El-Busaidy, Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa SAS Logistics, anasisitiza kuwa mwajiri hapaswi kumwajiri mfanyakazi kwa sababu tu ya kumlipa mshahara mdogo au kwa kuwa hana nafasi nyingine ya ajira. Anasema ni muhimu kuwasaidia na kuwathamini wafanyakazi ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi na kutatua changamoto zao za kimaisha badala ya kuwatumia kutokana na udhaifu wao wa kipato. Video: Clouds Media |

Madini Plus
Madini Plus
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 07:19:15 GMT
57275
2074
37
198

Music

Download

Comments

scoobyx7
Scoobyx7 :
SAS mishahara yao ikoje ?
2026-11-01 14:29:53
4
knghnri
King Henry :
Well said
2026-11-01 17:05:36
0
user2566285472450
user2566285472450 :
serikali haifuatilii haki za wafanyakazi
2026-11-01 14:20:13
0
user1495518587534
user1495518587534 :
Swadakta maneno ya ukweli mzee salim
2026-11-02 06:04:39
1
saleh.abeid8
Saleh Abeid :
ma Sha Allah hii ndio faida ya kuwa na mwajiri mwenye elimu wafanya biashara wengi hawana upeo WA kuelewa kuwa bila ya manpower hakuna successful
2026-11-01 19:38:04
4
stersh_family25
Stersh_Family@25 :
Jamaa yuko na positive mind sana 👏👏
2026-11-01 16:08:28
2
ibrahimbenja1
ابو فرحية السلفي تنزانيا :
unanigusa kabsa tena nashindwa daah acha tu
2026-11-01 18:45:10
1
stanleyfocas2
stanleyfocas :
sina ata chakusema
2026-11-01 18:01:43
1
damiansabasi
Damiani Sabasi Lashayo :
Somo zuri sanaa mtumishi
2026-11-01 16:52:03
2
safari.best.store
SAFARI BEST STORE :
HAKIKA
2026-11-01 11:15:50
1
imarapro
imara :
sasa kwann akubari
2026-11-01 15:53:27
2
maziku.www.com.tz
.www.com.tz :
huweda Sas kwer yeye analipa hivo na anafaya hivo ila hao wahasibu na ma HR ndio kipegere
2026-11-02 07:46:36
0
shashikant.prabhu
james :
wengi matajiri wana myima hazi za fanyakazi hilo nayp serekali ifikirie kuhusu haki za,wafanya kazi wafamyakazo wana nyanyaswa na matajiri
2026-11-01 11:25:42
2
noel38896
lyandala noah :
sawa lakini wengi wenu wameshindwa kulipa mishahara 😭😭😭
2026-11-02 04:58:31
0
dozzajr0
dozzajr0 :
niandikie Babu lao😁😁
2026-11-02 05:06:28
0
its._holiday
Robby🏀 :
Kwaiyo akiuliz wht is ur comfortzon Mahitaji yako binafsi: Unahitaji kiasi gani cha pesa ili kuishi maisha yako vizuri? Majukumu wanaokutegemea? Matumizi
2026-11-02 08:15:09
0
maziku.www.com.tz
.www.com.tz :
achane kushabikia vitu msivyo vijua kweye midia wajiari huogea Vizuri ila waulize wafayakazi wa asas watakujibu au watakuambia hasa madereva
2026-11-02 07:44:24
0
safari.best.store
SAFARI BEST STORE :
fact
2026-11-01 11:14:30
1
safari.best.store
SAFARI BEST STORE :
💯
2026-11-01 11:14:08
1
amani.othimani
Amani Othimani :
@Amani Othimani:sio.kama hatutaki kuja ila unakuta asaivi unamuambia kiongozi mpango fulani kamba ukipata vifaa unaweza kukamilisha kitu ambacho taifa itajivunia ila unakuta anakuuliza alafu Mchinga anauza nchi za nnje sasa sizani kama tutaendelea
2026-11-02 12:19:49
0
user5782116942688
manman :
Masha ALLAH
2026-11-01 20:01:00
0
munyama211
munyama1 :
SAS wako vizur sana
2026-11-02 08:52:53
0
muna.bhai573
Muna Bhai :
Mola Akupe Afya Na Umri Sijakuona Kwa Muda Salim Ukiva Kofia Tuu Ni Baba Yako Mtupu Allah Amrahamu Amsamehe Madhambi Yake Ampe Pepo Kwa Rehma Zake
2026-11-01 19:43:26
0
ahmed_dady007
Ahmed daddy :
masha Allah
2026-11-01 20:40:37
0
mndemelly
Haytham_Papaa :
Yupo straight sana. Namkubali
2026-11-01 18:18:47
0
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About