@esko_donald: Usiku wa kuamkia leo, saa nane na nusu, tulikutana na mtoto huyu Abuubakari (13) akiuza Ice Cream mitaa ya #Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Abuubakari amekuwa ni miongoni mwa wale watu 10 tuliowapa sadaka ya shilingi laki moja kwenye ile milioni aliyotoa mdau wetu. Sambamba na hilo tulimpa sadaka ya pair mbili za viatu kwaajili ya shule kwasasabu Abuu anasoma darasa la sita. #TheUmbrella furaha yetu ni kuona wanafurahi.
Esko Donald
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 08:27:39 GMT
Music
Download
Comments
brunohugho :
kweli huyo atakuwa mwanajeshi.miaka 13 anavaa viatu size 42
2026-11-01 09:23:58
566
Ms.kice☘️ :
Tutafutie huyu tumpe buku buku zetu kaka
2026-11-01 09:27:42
769
rajo17 :
BRO KUNA SIKU UTAKUJA KUWA KIONGOZI MKUBWA SANA TANZANIA SAVE THE DATE INSHALLAH
2026-11-01 09:11:33
1770
Nayawigstz💇♀️ :
Mtoto anajua kujielezea hadi raha !! Confidence
2026-11-01 08:35:55
1175
Janet🦚 :
Ni ka handsome Mashallah
2026-11-01 08:42:54
681
amariseyes3 :
maisha sio marahisi walah tuwafundishe watoto kazi [Crying][Crying]
2026-11-01 08:38:39
708
Connie🍧 :
Mungu nipe uwezo na mimi nisaidie kila mwenye uhitaji 🙏
2026-11-01 13:21:38
100
Glory Mwaipasi :
utakuwa mwanajesh mwanang kwa adabu uliyo nayo Mungu atakupa kibali ni watoto wachache wa dar wenye adabu
2026-11-01 09:19:44
231
Tina Nnko :
afu kuna mpenzi wangu saa moja kashalala na Hela ya vocha tu inamshinda😂
2026-11-02 20:35:35
19
Nexus Cosmetics💄 :
He is very humble waaalah
2026-11-03 04:50:27
0
lazar🫳 :
safii dogoo
2026-11-03 02:42:35
0
Dark Owl 🦉🖤 :
na kuna vijana wakubwa zaidi yake kazi yao kushinda kwny poll table tu Mungu ambariki kwa kwel na wazazi wake wanajua kulea mashallah
2026-11-01 09:48:43
208
Rebeka Grayson :
kafanana na feisal
2026-11-03 03:44:27
0
Jenny Abdul :
had nmelia 😭😭😭😭😭😭jmn duh
2026-11-02 20:44:08
0
S.h.a.k.i.l.a🦋 :
Kwanza handsome Afu anaakili Mashallah🥹🙌
2026-11-02 06:54:06
26
nuwayrat :
nimepnda anamsaidia baba ake☺️
2026-11-01 09:00:46
107
musssa :
sasa mbona kumrekodi tena jamani aah
2026-11-01 14:46:15
9
shunumammy :
Much love from 254 Esko ur doing a great job 👏
2026-11-02 11:59:00
1
aanswea_07 :
Ni vizurinkumsaidia mtu broo ila sio kmrusha na kutangazia mitandaoni Ila ikiwa lengo lako ni zuri endelea tu
2026-11-01 12:18:10
15
Narish1111 :
Jaman wazazi tuwalinde watoto kwa umri wake ni hatari kwake kwa hali ya dunia ya sasa🥺
2026-11-02 08:53:21
30
hancboytz :
zingatia neno hili
"nataka nijekua mwanajeshi ili niisaidie Tanzania"
2026-11-01 10:21:00
366
NALLAH 🦋🧕 :
Mim natamani mwanangu aje ajipambanie mwenyew aelewa maana ya maisha afikishe miaka15 nampa nauli atafute pa kwenda akatafute maisha
2026-11-02 07:14:30
5
Ms.kice☘️ :
Wanaume🥹🙌mungu akawape mwanga kwenye utafutaji wenu inshallah
2026-11-01 09:24:48
91
Omugonzibwa :
mimi namumewangu tunalala saa tatu😭😭😁
2026-11-02 05:54:13
47
𝖀𝖕𝖈𝖔𝖒𝖎𝖓𝖌_𝖘𝖆𝖎𝖓𝖙🔱 :
Dogo anataka nijione kamba mm ni lazy😢😂💔
2026-11-01 08:43:06
197
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.