alitoa elefu 10 halafu kutumiwa elfu 52halafu tena katoa elfu 40 sasa hapo chuku 10+40=50 nanga kampa jamaa, halafu jamaana katoa elf 52 kwahiyi jamaa bado kala bule
2026-11-01 11:04:08
48
Malisafih littlechild :
Asaaa unatoaje chenji af10 akat ndo ela ya mwisho Tz
2026-11-01 11:24:06
12
lyimo :
mi mbona sijaelewa Haina muendelezo ajapigwa mtu kweli hapo😳😳🤣
2026-11-01 10:15:53
33
Uzer💋 :
Kwahio wamekula bure😭
2026-11-01 09:17:51
15
SAM RISE💫💫 :
52,000-2000ya makato inabaki 50,000-2600ya ndizi inabaki 47,400 losi ya 2600 kwa nanga ingekuwa keshi nanga angekula losi ya mia6 kwenye 52000 haina makato