@thobiasmahune: Goitre ni hali ya kuongezeka kwa ukubwa wa tezi ya Thyroid (tezi ya shingo), ambayo hupatikana sehemu ya mbele ya shingo, chini kidogo ya koo. Tezi hii huzalisha homoni za T3 na T4 zinazosaidia kudhibiti; ✓Matumizi ya nishati mwilini. ✓Mapigo ya moyo. ✓Joto la mwili. ✓Ukuaji na maendeleo ya mwili. ✓Utendaji wa mifumo mbalimbali ya mwili. Dalili zinazoweza kuonekana ni; 1.Kuvimba sehemu ya mbele ya shingo. 2.Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni. 3.Kupata shida wakati wa kumeza chakula. 4.Kupata shida ya kupumua, hasa tezi inapokuwa kubwa. 5.Kukohoa mara kwa mara. 6.Kubadilika kwa sauti au kuwa na sauti ya kukwaruza. Ukiona uvimbe sehemu ya mbele ya shingo nenda hospitali Kwa uchunguzi wa kitatibu. Niambie kwenye comment ushawahi kumuona mtu mwenye Goitre? Follow for more💥 #maarifaninguzoyakujiamini #goitre #healtheducation #publichealth

thobias_mdcandidate
thobias_mdcandidate
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 08:41:52 GMT
10023
91
11
7

Music

Download

Comments

consolatasamsoni0
consolatasamsoni :
ndio nisaidie ninayo
2026-11-01 17:07:51
2
fromyourcontact578
From your contact :
Je pembeni na mshipa ukiwa unapwita kwanguvu na maumivu upande wa kulia ni goita?
2026-11-07 04:28:53
1
eunicesidi935
mum s ❤️ t ❤️ a ❤️ c ♥️ y :
nisaidie poa mm nko ivo
2026-11-07 23:08:23
1
user6513554946801
wamchaka :
dalili hizi ninayo🤔
2026-11-05 08:41:25
1
user32495569911227
user32495569911227 :
dawa nini
2026-11-05 18:25:28
1
magrethmoshi842
Magreth moshi :
nipo lindi
2026-11-03 19:28:27
1
To see more videos from user @thobiasmahune, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About