@franco5666777: #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #zimbabwetiktok🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼 #foryou

FRANCO ONE
FRANCO ONE
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 08:53:36 GMT
352264
24794
812
629

Music

Download

Comments

kamene5274
Kamene :
hayo ni majibu ya doc sio majibu ya Mungu anaweza kuishi miaka mingi
2026-11-01 10:52:25
789
naifath52
Naifath Yusuph❤️ :
Kemea roho ya umauti allah atampa uhai ishaallah 🙏
2026-11-01 16:20:57
163
sieanthony
Mama Mchina :
Jibu la doctor sio la MUNGU
2026-11-01 11:32:53
114
anniealexe
Annie :
Oooh Mungu wa mbinguni fanya njia paspo na njia huyo mama akawe mzima kuanzia sasa ktk Kristo Yesu🤲🧎🏻‍♀️
2026-11-01 14:16:41
314
user5723001943335
charity :
msemaji wa mwisho ni Mungu pekee
2026-11-01 11:08:19
127
ceecy590
Ceecy :
be healed by power of God.
2026-11-02 13:56:03
0
aika.gabriel
Aika Gabriel :
more than pain😭😭😭
2026-11-02 16:21:27
0
rama.scouty
NASRA :
we love you so much
2026-11-02 11:11:59
0
minah69256
mimi ndelwa :
hii ilinkut kwa mama yangu alipewa sku 5 tyu za kuish na madactar na n kwel ilvyofika sku y 5 aliaga dunia😭😭😭😭😭
2026-11-01 15:07:32
29
user1575612372519
ummu omari :
pole san
2026-11-02 05:05:10
0
user302736726176zanuba
zanuba :
jamani kwanini musiache mungu afanye kazi yake
2026-11-02 03:29:32
6
ngasinda.ngasinda
Ngasinda Ngasinda :
kuna rafiki ya mama yangu aliumwa akapelekwa south Africa kwa matibabu kule aliwekewa kifaa akaambiwa ataishii kwa miaka 10 tu atafariki, mama yangu mzazi amefariki 2013 yule rafiki yake yupo mpaka leo ingawa umri umeenda lkn bado ana nguvu, Mungu achunguziki
2026-11-01 10:31:15
84
user9170323859933
Linda💓💓 :
mwamuzi wa mwisho ni Mungu tuu ☝️na cio mwanadamu😭
2026-11-01 11:23:35
17
user1781120309839
Da Huu🥰 :
poleni
2026-11-02 15:29:51
0
dafrosamichaelmad
Dafrosa Michael Madicher :
Dactari sio Mungu, Nakutakia maisha marefu yenye amani Mama Rhonda.
2026-11-01 11:23:27
15
lizzy_fashion17
Lizzy_one🌟 Lizzy 💖 :
mungu njoo mwenyewe kwa hili mungu ni kweli Niko na mengi ya kukuomba lakn kabla jujanijib Mimi naomba majibu ya hii Swalla hapa amen 🙌🥹🥹
2026-11-01 17:30:34
7
eva.mrombo
Eva Mrombo :
MUNGU ANAKWENDA KUMPONYA KATIKA JINA LA YESU HAYO NI MAJIBU YA DACTAR SIO YA MUNGU EEMUNGU MPONYE HUYU MAMA 😭😭
2026-11-01 19:25:55
6
gacheritabitha
IMATHIU :
another day to chop onions with strangers.GOD I PRAY YOU BE GLORIFIED THROUGH HEALING RHONDA, Healing is you're portion 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-02 06:09:20
0
mariamkivuyo7
Mariam Kivuyo 🌹 :
Mungu wambinguni uwezo wake ni mkubwa kuliko ugonjwa huo
2026-11-01 12:30:55
12
user8831948193258
Atiki :
mh mumewangu aliambiwa hivo hivo toka ambiwe n dokt alika siku 12 tu
2026-11-01 11:13:52
8
mary.minja2
Mary Minja :
Doctor sio Mungu
2026-11-01 10:01:05
9
sameerfashion06
SAMEER FASHION :
mungu ndo anae jua huyo mnaweza kufa mkamuacha
2026-11-01 09:41:10
7
chausiku851
It's🥀 Chanight❤ :
itakua hata mheshimiwa Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alipewa taarfa ya siku zake za kuishi maana alianza kuongea kauli za majonzi sana si kwa wananchi tu mpaka watoto wake😭
2026-11-01 11:00:51
6
kuhanineema
Kuhani Neema :
Ngomeni hapajuwi?mleteni uku kwa Baba Kuhani Musa akuna kinachoshindikana kwa damu yangu Yesu Kristo ilitoka mgongoni mwake akiwa anapigwa tumepokea uponyaji ikiwa sio siku zake Mungu alizo andika aje Ngomeni asipo pona mnidai
2026-11-01 21:57:02
1
morysh5
morysh5 :
Hii kitu haipo bhn hua tunauwawa kwa hofu ya taarifa itolewavyo na inavyopokelewa mie mzee wangu aliambia atakufa 2024 hadi leo yupo kisa tu huo uchunguz wao madaktar Kikubwa imani tu kila nafsi itaonja umauti kwa muda wake utakapofika
2026-11-02 13:14:42
0
To see more videos from user @franco5666777, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About