@stanley_marketing: #uzi59 Mfanyabiashara au mjasiriamali lazima uwe na business psychology trickies kwenye biashara yako ili uweze kuongeza sales volume kwenye bidhaa zako. Na ndio maana nakushauri wewe kama mjasiriamali mdogo au wa kati tukutane dodoma tarehe 2.3,4 November kwenye uzinduzi wa sera endelevu ya viwanda kwa maendeleo ya wajasiriamali wote, njoo uongeze thamani, njoo uongeze wateja, njoo upate elimu, njoo upate ushuhuda na fursa ili ukuze wigo wa biashara yako. TH/ @warsam85 @judith__kapinga @viwandabiashara @dg_events_ltd
Nauzaa duka la vyakulaa nawaza kati ya mahalag na mchel nimwag nn
2026-11-01 10:54:32
94
MSHILAZY🇩🇰🇲🇾 :
Kwan bank 🏦 wakwama wap
2026-11-01 12:13:59
74
@official willy's :
jalajalani ndo wap
2026-11-01 11:21:51
48
Mtepa de' prez :
fake it until u made it
2026-11-01 11:29:47
29
Palz :
good explanation
2026-11-01 15:52:15
0
last kid :
uwo ndo unaitwa uchawi kwenye biashara
2026-11-01 09:45:29
57
@mutemba Firefox :
JALAJALANI NDO NILICHOKIELEWA
2026-11-01 10:51:44
22
Littlemore :
sio jalajalani ni jalalani
2026-11-01 10:26:25
19
Haidary Caxanovah :
hii idea nzuri kwa mawakala wamwage hela nje ya ofisi zao
2026-11-02 05:19:23
5
Ally Ally :
Appreciate
2026-11-01 21:23:07
0
HERIETH GAVIN :
long life
2026-11-01 20:03:21
0
𝓗𝓪𝓹𝓹𝔂 :
Ahsantee 🤣
2026-11-01 13:13:38
0
Kauzen :
Kwanini benki zetu zisitumie hii njia naona itafaa sana
2026-11-01 16:27:08
5
KIBOKO 🦛 :
KUNA HAWA MABINTI ZANGU WA COSMETICS WANAGEUZIA KALIO KWA SCREEN 😂😂😂😂
2026-11-01 11:56:13
6
mshenga wa kuaminika :
waoooooo
2026-11-01 14:23:23
0
user7652297236991 :
JALAJALANI[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-01 10:32:53
6
Izzy martin19 :
Kaka nimeipenda Sana ii content yako ya empty cane strategy
2026-11-01 09:03:43
9
P9598 :
Kwa Hospitali in-aapply vipi?
2026-11-01 12:05:29
0
sweetmammy6 :
Stan ndo jalajalani rafiki anguu😂😂 sema hili liinga skujuaga km lina miakili hv asee✌️✌️😂👏👏
2026-11-01 22:26:48
0
Notable - PKM :
Nime anza kazi, muni pongeze
2026-11-01 13:54:28
0
SAMBA-INVESTMENT🫂 :
kwahiyo unataka nikamwage Furniture zang???😇😁
2026-11-01 20:33:14
3
-ROMz GLOBAL ICON LTD :
Kka hii ya iphone unaweza kuapply kwa restaurant
2026-11-01 11:41:10
0
The D-Star💫 :
Me mwenyew nlivyoanza kuuza magari nliyazagaza magari matupu yasio na matairi ili kuwaaminisha watu nnayo mengi kwenye kampuni yangu na ndo nlipotoboa hapohapo
2026-11-01 17:32:51
2
Self Love :
watu wanawaza wamwage nini.. dah
2026-11-01 14:40:15
0
To see more videos from user @stanley_marketing, please go to the Tikwm
homepage.