@haaabib007: Sikiliza kwa makini af share

Habib🔥
Habib🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 09:24:10 GMT
85071
3654
349
317

Music

Download

Comments

grayunju
Gray✅ :
You’re preaching hateful nonsense message! preach love and peace
2026-11-01 22:15:32
0
steven.steven921
Steve mkweli :
huyu jamaa kila siku anamsema vibaya sana Baba wa taifa lakini hachukuliwi hatua yoyote,lkn polepole kaongea kidogo kuhusu Samia haonekani mpaka leo
2026-11-01 10:56:02
37
victor.ben3
victor ben :
tatizo ni elimu.. somesheni watoto wenu
2026-11-01 11:55:49
26
fungogodlove
FungoGB :
Bugando Medical Centre (BMC), Mwanza, ilijengwa na Kanisa Katoliki kati ya mwaka 1968 na 1971 na kufunguliwa rasmi tarehe 3 Novemba 1971 na Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nani aliijenga na kufadhili? Kuna tofauti muhimu: Mmiliki na msimamizi wa mradi: Kanisa Katoliki kupitia Tanzania Episcopal Conference (TEC). Wafadhili: Watu na taasisi kutoka Ujerumani Magharibi na Uholanzi, kupitia mashirika ya wamisionari wa Kikatoliki. Wasanifu: Kampuni ya Ujerumani, Lippsmeier + Partner Architects. Mkandarasi wa ujenzi: Kampuni ya Israeli, Solel Boneh.
2026-11-01 11:42:51
17
joel_ntile
Joel Ntile :
Sheikh Ilunga hapa aliongopa. Barabara ya Moshi-Arusha ilijengwa na wakoloni na contractor alikuwa Stirling-Astaldi & Co. 1956
2026-11-01 12:49:53
11
bbhuk884
bbhu :
Tatizo anaonglea uchochez haonglei ukweli[Tears of joy]
2026-11-01 12:15:34
11
msuph.yona
Msuph :
acha kupandikiza chuki
2026-11-01 11:35:43
13
ptz_7689
Patrick Paul :
Bro speaking religion mda wote. Project ngapi zipo nchini za katoliki zina benefit kila Mtanzania including Muslims.
2026-11-01 20:17:14
0
sachosiko
Kandi :
You’re preaching hateful nonsense message! preach love and peace
2026-11-01 12:34:22
2
rutag44
gforever :
kwani huko Lindi hakuna wakristo? Au huko Moshi hakuna waislam?
2026-11-01 10:45:18
8
ai.arusha4114
AI ARUSHA STORE :
kwahyo raisi akiwa mkristo apeleke maendeleo kwa waislam na akiwa mkiristo afanye hivyo kwa wakristo wenzake? uislam sio dini mbaya ila kuna waislam baadhi wanaeneza chuki baina ya watanzania. ubirini dini yenu na mjiwekeze acheni kuendekeza chuki kwa watu
2026-11-01 11:07:25
1
nature.is.life66
Nature is life :
Ndugu katika yote uyanenayo Jina la YESU liwekee mipaka hakika nakusihi sana
2026-11-01 21:20:33
0
sokamilemdzagalindodi_
sokamilemdzagalindodi :
Udini ni changamoto ilitakiwa Nyerere afute kabisa dini.
2026-11-01 12:35:07
2
lucas.akulupaso
Lucas Akulupaso :
msiba mkubwa sana wa ufahamu
2026-11-01 12:52:43
4
dewill818
dewill818 :
Uongo sio mzuri
2026-11-01 12:58:00
1
advisor140
COOL :
bado na sgr kusini haimo katika mpango
2026-11-01 12:50:35
1
joelbeatus
joelbeatus :
sioni point zaidi ya udini
2026-11-01 21:18:54
1
mshashi35.com0
Miyamoto Mshashi. :
Sasa utajenga barabara, huna hospital?
2026-11-01 18:22:09
0
mchambuzihuru
Tajiri wa Kasulu :
huu ni uongo
2026-11-01 13:03:03
0
ligangakcfa85
Ng'ongwa :
Analilia misaada. Tanzania tunajiweza usitufedheheshe.
2026-11-01 13:30:30
0
dully.kipito
Dully Kipito :
ila mbona kama kusini ndio Kuna idadi kubwa ya waislamu tz
2026-11-01 13:21:27
1
ally247059
simba :
ukwel mchungu kwa ndg Zang waklisto
2026-11-01 11:43:42
4
fungogodlove
FungoGB :
Bus la SUMMRY halijawahi kufanya safari za Dar to mtwara
2026-11-01 11:50:27
2
vincentkibaya
Vicent Shekibaya :
Kumbe mpaka barabara ipo ya wakristo na waislamu!!! Kwa kwakweli elimu ni muhimu sana.
2026-11-01 12:51:15
4
black.boi.255
Black Boi 255 :
Hapa watu wanayachukua kama yalivyo, hawapewi uthibitisho, hawaulizii uthibitisho. Wanayabeba kama yalivyo kisha wanayasambaza na kuyahadithia kama yalivyo.
2026-11-01 13:23:41
3
To see more videos from user @haaabib007, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About