@askjoh5: Kwa routine rahisi na bidhaa sahihi, unaweza kuwa na ngozi safi, yenye afya na inayong'aa. Kumbuka, kutunza ngozi si suala la jinsia, ni suala la kujipenda na kujiamini. Wanaume, anzeni na simple skincare routine! 💯 #MensSkincare #SkincareForMen #HealthySkin #simpleskincare #askjoh5
haiwezekan izo product zote zichanganywe kwa pamoja ukifika uoge kwa pamoja usepe
2026-11-01 20:39:37
18
ELDIEGO🦉 :
Twice a day ??
2026-11-02 13:42:58
0
Henry_Ngowi :
mwanaume nitunze unyevu🥲
2026-11-02 15:01:54
5
MUME :
NITAWAHI KAZINI KWELI?
2026-11-04 10:24:25
1
@hydrogeo.ismail :
mara ngapi kwa mwaka mbona kama hatua nyingi sana ntawahi kazini kweli
2026-11-03 14:16:50
0
Super Montana😎 :
Mimi siogagi sa itakuaje😁😁😁 naweza paka bila kuoga🥺🥺🥺
2026-11-01 15:26:16
6
👽 BRENDE SPORTS CENTER 👽 :
shida sio bei ya bidhaa , shida Sina huo muda wa kukaa kujipaka vitu vingi 😂😂 Yani naturally tu moyo unakataa 😂😂 uanaume kazi wanangu
2026-11-02 06:03:09
3
Ď𝐚Đ𝐢Ⓘ Ł𝑒є ❤️🩹🥷🏻 :
Kama ndoivi basi mi mchafu🤣
2026-11-03 20:10:21
0
Jimmy Traveler :
emb hiz zaga tuachie mwanawak zetu maan cc wanaume asilimia kubwa kuoga ni dak mbili mafuta enyew napaka nikiwa nishavaa nguo yan mda naondk ndo napaka sehm zinazonekn pekee[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-02 10:29:22
1
Ninja 🥷🏾 :
mseme n mwili mzima au usoni tu
2026-11-01 19:32:12
1
professor nego :
Jamaa na dodoki vinatosha kwa kweli iz process zote sitawezana nazo asee 😭😭🙌🙌
2026-11-01 16:12:07
7
🥺TARIQ♒️🫧 :
ni mwendo wa Asantee papayaa soap
2026-11-01 17:19:41
3
sarie :
kwann scrub tusitumue African net
2026-11-01 17:43:54
2
Nabeel_04 :
Kuoga inategemea na siku nimeamka nimewah au kuchelewaa !! Kazi ni za watu ntakuja kuoga usiku bhana
2026-11-01 15:04:30
5
CHIQX :
sorry sana ! mimi uy ... muda huo ote natoa wp
2026-11-01 18:09:47
2
RazakMpita :
2026-11-02 13:53:56
0
Fegu :
Sa huo muda wote nitachelewa kazini asee
2026-11-01 14:24:07
4
D🧊E💫L💥U❄️X☄️E :
Nmepiga roughly kwa bei ya chini ni kama 66k🙆😂
2026-11-01 18:08:45
2
CULTURE OF AFRICAN @Tz🌍 :
labd nimekosa KAZI ya kufanya
2026-11-05 11:34:15
1
Mr why me!!@666 :
me naitaji San izo brash Ila sijui zinap uzwa
2026-11-01 16:20:56
1
shaaly :
kwa mtu mwenye chunusi moisturizer gan ni nzur mafuta uson
2026-11-01 20:58:34
1
It's abdul❤️ :
Mm natumia face wash na body wash vingine siwezi naweza shinda bafuni na ninavyopenda maji 😂😂😂 ila kuwa na skin nzuri inakupa confidence waje wakuungishe 😂😂🥰🥰
2026-11-01 19:33:55
3
To see more videos from user @askjoh5, please go to the Tikwm
homepage.