@mrjustine_: MASIKINI WANAONA KILA FURSA NI UTAPELI, LAKINI HAWAJUI KWAMBA KUKOSA KUJARIBU PIA NI HASARA. Mtu akikuonyesha fursa, unaanza kutafuta sababu za kwa nini haiwezekani. Ukiona mtu amefanikiwa, unatafuta sababu za kumdharau. Ukiona mtu anaanza biashara, unamwambia ni matapeli. Lakini ukweli ni kwamba si kila fursa ni halali, na si kila fursa ni utapeli. Tatizo ni pale unapokosa uwezo wa kutofautisha fursa halali na utapeli kwa sababu huna muda wa kufanya uchunguzi. Usiwe mwepesi kuamini kila fursa, lakini pia usiwe mwepesi kuikataa kila fursa. Jifunze kuchunguza kabla ya kuhukumu. Maisha hayamlipi mtu kwa kuwa na mashaka mengi, yanamlipa mtu anayefikiri, kujifunza na kuchukua hatua sahihi. #success #opportunity #fyp

Mr Justine’s
Mr Justine’s
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 09:33:15 GMT
477
17
6
1

Music

Download

Comments

itsmedanielaloyce
️ :
Changamoto inakuwa hivi, unakuta fursa unayopewa wewe, mtu angeifanya mwenyewe angeingiza pesa nyingi, anakushirikisha ili akupige au aongeze kipati chake kupitia wewe. 🔗 Mfano mzuri, Kuna kitu kinaitwa ponzi schemes, hii mtu anakushirikisha fursa, ila anakushirikisha ili anufaike na wewe. Ndio Kuna opportunities nyingi sana bongo, lakini uoga wa hayo mambo unafanya watu wasifuatilie fursa nyingi. 🔗 Kwa upande wangu kama ni fursa ya biashara, mtu anipe full description ili nijue naingia au la, na kingine, kuhusu hizo fursa, unakuta labda najihusisha na mambo mengi, Sasa kuchukua kila kitu inakuwa changamoto, so mtu anataka ajue tu ni kitu gani, akiona kama vile hata weza ku manage anakaa kimya. 🔗 Wengi wanaotoa fursa wanakosea sana, mtu anakuambia dm me for mo info, Sasa kama ni fursa na unapenda watu wajue, kwanini mtu akuambie dm me? mtu kama @Kelvin Kibenje Kyaluoko. anakupa fursa na full detail, so unaamua mwenyewe. Ukimfuatilia huyu jamaa ni rahisi sana kumuamini kwa sababu anakupa full details ya fursa husika.
2026-11-01 10:37:57
1
allymalikally
ally :
😂😂😂🙏🙏🙏
2026-11-01 10:24:12
1
To see more videos from user @mrjustine_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About