chionda Ni wetu Kenya Na Yule jamaa Wa wachokonozi pia Ni wetu
2026-11-01 09:52:11
3
Zac :
i second this research
2026-11-01 14:18:19
1
kingbyser🫅 :
naitwa magembe
2026-11-01 19:06:42
2
Fabiano :
Ukweli kabisa wambie Babu chionda na wachokonozi wote ni wetu
2026-11-02 05:34:55
0
Garama Katana :
namkubali chionda
2026-11-01 11:38:57
1
user46024249462seker :
Tatizo sio dini,ni mind set yetu
2026-11-02 06:18:56
0
george :
mzee ukwel unauma
2026-11-02 04:10:38
0
Sheban Hamis :
ukweli uko wazi
2026-11-02 02:55:51
0
PROPHET JABIR.🌼🐍👁️. :
mi nilijuaga zamani ety mungu yupo jamani ila hii dunia bana😂😂😂
2026-11-01 11:43:37
1
Kapele Mzee :
ukweli kabisa
2026-11-02 03:26:48
0
Phillip Karisa :
kwl kaka broo
2026-11-01 19:31:33
0
Bad.me :
mkenya n mm
2026-11-01 09:54:23
0
💮flower :
sie tuna Mali LAKIN hatuna maalifa ndio maana maliyetu huisha bila HABAR
2026-11-01 20:28:59
0
dikwe :
Naitwa Dikwe eti waliniambia siendi mbinguni kwasababu situmii jina la utumwa
2026-11-02 00:55:11
0
mama Adrian :
ukweli kabisa
2026-11-01 15:36:29
0
NDOLA :
, 🥰🥰🥰🥰
2026-11-01 11:22:15
0
Milo Von :
Je Us
2026-11-01 20:21:33
0
kashy#1 only :
Kila neno litokalo kinywani mwa mwanadamu limebeba Siri nyingine ila hatujui. Tuachane na umishenary ambao ulikuwa Dili la wazungu ili wapate wanachokitaka kwetu. Hii haimaanishi Mungu hayupo lahasha yupo ila kama hujui anayejua atatumia usichokijua wewe apate jinsia ya kukupata ili apate anachokitaka kupitia usichokielewa. Siku zote mwenye hekima atatawala tu na huyu kaka ana hekima kubwa iliyo na ukweli ndani yake kuhusu Afrika hapo lazima tumsikilize tuelewe uhalisia ila tuwe makini pale panapohitaji sukari tusiweke chumvi. Mungu yupo tatizo ni uwasilishwaji wake kwetu tunakuja kwa njia ya manufaa ya anaemtambulisha.
2026-11-02 05:11:24
0
Navigator👽 :
waambie babu
2026-11-01 13:36:48
0
Onga Zuwena :
Yani huyu mwamba yukovizuli sana
2026-11-01 15:28:41
1
Baraka kawogo :
mabangili hayo na mafundo hayo yamejaa uwongo
2026-11-01 15:22:35
1
Abdul Karim :
WALIKUJA NA MISSIONARY NA KUWAAMBIA WA AFRIKA FUNGENI MATO NA ARDHI KUTUKILIWA MADINI NA MALI ZA AFRIKA KUTUKILIWA. JE! NI NANI ALIYE FANYA HAYA AFRIKA NI WAARABU AU WAZUNGU?
2026-11-01 14:51:34
1
To see more videos from user @vizzolboybrand, please go to the Tikwm
homepage.