@maktabakidigital: 📚 MAELEZO MAFUPI YA HIVI VITABU 1. THE SCIENCE OF GETTING RICH – Wallace D. Wattles Kitabu hiki kinakufundisha namna ya kujenga fikra za mafanikio, kutumia fursa vizuri na kuwa na mtazamo sahihi kuhusu utajiri. Kinakusaidia kuelewa kuwa mafanikio huanza kwenye fikra na maamuzi yako. 2. THINK AND GROW RICH – Napoleon Hill Kitabu hiki kinafundisha siri za mafanikio na utajiri kupitia nguvu ya mawazo, malengo, nidhamu, kujiamini na uvumilivu. Kinakusaidia kujenga fikra za mtu mwenye mafanikio. 📖 Unataka kujifunza na kuongeza maarifa? Vitabu hivi vinapatikana kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. 📲 ANAYEVITAJI ATUME SMS WHATSAPP: 0699459418 ili nimtumie asome. Jenga akili yako leo, mafanikio yanaanza na maarifa! 🌟@KNOWLEDGE SHARING @Vitabu vya Kiingereza

@Maktaba-Kidigital
@Maktaba-Kidigital
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 09:53:30 GMT
2195
164
5
45

Music

Download

Comments

volboy59
volboy59 :
Asante sana kwa maarifa yako 🙏
2026-11-01 18:03:32
2
ben.brain1
Ben Deon :
[Pray]
2026-11-01 19:38:43
1
To see more videos from user @maktabakidigital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About