bora mwanya enjoi maana vijaana wana mambo mengi sanaa🥰🥰🥰🥰
2026-11-01 17:53:51
47
G,semela🇹🇿tz :
Ni babu yako?
2026-11-01 18:50:02
27
Mary🌹🦋 :
Huy ni babu yang guys tangu auze kiwanja haonekan nyumbn kumbe yupo huku🥺
2026-11-02 05:00:54
31
Baby gifty collection 🩳👔👗 :
Na wangu yupo kama hyooo seeeema kumposty thathaaa uuuuuwiiiiii naogopa nitaleta ugomvi kwa ndguu maana hata mama angu mwenyewe angemutongoza angemkataaa angesema ni mzee sana ila helaaaa 😂😂😂
2026-11-02 17:08:43
2
miss florida@ officially 😍 :
kujiamlia mambo ndo kitu tunajua saivi wadada 😂😂😂
2026-11-01 18:54:36
13
Hawa Msigwa :
hongera mwaya Vijana wahovyooo kabisa
2026-11-01 14:19:43
8
justinemnaku :
Bora wew ujitafutia Tyson wako😁😁
2026-11-02 15:45:18
1
Didah Montana🫶 :
namuomba babu yangu😁
2026-11-02 11:06:07
2
KAMSI 🇿🇦 :
MWAKA UMEANZA BILAA JANUARY APA 🤣
2026-11-02 11:34:12
2
💕moma khaido😘 :
mashaallah mpk nataman ningekuwa ww
2026-11-01 18:55:45
5
Double tee :
Namuomba babu yako
2026-11-01 14:06:54
6
Madame Tee🦋 :
Mung atulindie t hawa wazee jmn 😂😂🙌🏿
2026-11-02 07:51:32
0
Paskalina Odo :
kira mtu anaishi anavota ndgu zangu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-02 09:31:02
1
0637516987 :
usimuongope mtu
2026-11-02 13:00:56
0
Recho Halson :
mwezi mzima tunamtafuta babu yetu kumbe Anna kamficha hukuuuu
2026-11-02 08:00:37
1
Low key 🗝 🔐 :
Wazungu wanasema
Money is not Everthing but Everthing Needs money
2026-11-02 12:31:17
1
lt's Mary🦋🌹 :
Mtakuja kuua wazee wawatu😂
2026-11-02 09:53:27
1
glory🌹🌹🥰 :
bccc km ni hivi mm sina haraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼
2026-11-01 20:47:24
1
To see more videos from user @anna_collection3, please go to the Tikwm
homepage.