broo diamond ndoanatuwakilisha kimataifa kuna watu uko marekan wajua diamondi ndoo. tanzania inyewe
2026-11-01 11:43:57
7
Kevin prod :
muachiye wa congo music
2026-11-02 22:12:01
0
Ommy Bou :
kweli
2026-11-01 12:04:43
1
Edwin :
sio rahisi bro kufika international
2026-11-01 14:41:24
5
AYO BEATZZ :
Me sioni shida ikiwa budget iliyotaka kapewa mziki ni biashara
2026-11-01 17:00:08
1
aleixoboy1 :
Bro fact 🔥🔥
2026-11-02 23:00:31
0
Shakira A. Banobi :
Kwan shida Iko wap wakat hela wanapata
2026-11-01 19:33:23
1
OLIVER KE :
its true broo
2026-11-01 10:36:28
2
ETABE car :
watu wa mbagala tujuwane
2026-11-01 12:27:36
0
jumasimeu :
hata huyo anaejulikana wanamjua yeye sip nyimbo zake
2026-11-01 12:43:46
0
Jeremie siluvala :
Bro na kukubali sana kutoka DRC🇨🇩
2026-11-01 14:27:54
4
magrethherin :
daimond hana uwezo wa kujaza arena ya 02
2026-11-01 16:46:29
0
bigbenkimaro1📊 :
Abebe wenzake haswa upcoming artists sa ye anataka ukubwa mwenyewe
2026-11-01 12:23:52
1
mwajuma Abdallah fadhili :
na hawakujaza bar
2026-11-01 12:08:16
0
Dizzo :
c ungekua msani uone km n rahisi
2026-11-01 12:13:59
0
ℭ𝔥𝔦𝔪'ℭ𝔥𝔦𝔪 :
wasanii WA Nigeria pia wanaperform clubs kwani Kuna tatizo na hata marekani na ulaya wanafanya shows club it's a common thing na biashara zote zinategemeana bruh Chris brow Hadi Leo anaperform kwenye maclub Bruno Mars anafanya show kwenye casino isiyozidi watu mia wachumbuzi wengine hawako prompted kabisa
2026-11-02 06:42:52
0
josephat :
sasa wakafanye wapii wakatii ndio kazii zaoo kuwaburudisha watu wakonchini kwao wakakienda nchi nyingine ni dharura tuuu lakini 🇹🇿 ndio kwao acheni wafanyeshoo nyumbani apaaa watakacho kipata waridhike nacho maana ndio nchi yao kwani wakati wananza kuimba ukoinje watu walifahamu uko sisi nduguzao watanzania ndio tulio anzaa kuwajua acha wafenyeshoo pesa haiachwi mkuu kinachotakiwa nipesa mkuu
2026-11-01 16:17:46
0
willy :
Mzee bab na language nayo inachangia mkali wangekuwa wanaimba English wangekuwa mbali sana mkali
2026-11-02 16:41:48
0
Mechack Kambale :
🥰🥰🥰
2026-11-02 08:31:43
0
Aisha Aisha :
🥰🥰🥰
2026-11-02 14:23:20
0
Khawla Tanzania :
🙏🙏🙏
2026-11-01 17:45:48
0
bahati anodi :
👍👍👍
2026-11-01 21:58:26
0
Mechack Kambale :
😂😂😂
2026-11-02 08:33:19
0
diemerci :
❤️❤️❤️
2026-11-01 23:10:34
0
𝕂𝕀ℕ𝔾 𝕄𝔸ℕ𝔼ℕ𝕆🇲🇿🌹🇲🇿 :
❤️❤️❤️
2026-11-02 05:25:48
0
To see more videos from user @el_mandotz, please go to the Tikwm
homepage.