wacheni kumtungia mwenzeni kesi isio muhusu.jamaani kuna na mngu
2026-11-01 11:25:25
31
أسد سليمان :
Watch the end when she say tutam report how the kid nods with guilt subconscious.. SUBHANA ALLAH.. Nia yake ni kumfedhehesha yeye na family yake hususan wazazi wake maskini ndugu na jamaa zake. Ila kama Ali fanya hizi kumdhalilisha duniani.. ALLAH HALALI WALA HASINZII DAKIKA.. Atamfedhehesha hapa duniani na kesho Akhera.. Nice work Mesh
2026-11-01 13:02:33
11
Famhas✨ :
mesh sweeet CCTV records zipost fastaa[Tears of joy][Fire]
2026-11-01 11:55:30
7
Hawa :
mama anazungumza zaidi mtoto anaitikia tu.
mtoto amesema amechukuliwa barke
mama asema amechukuliwa Barclays
2026-11-01 12:07:04
23
Ally :
broo u have exposed the face of a witness under protection
2026-11-01 11:39:03
3
villain :
haifai kupost watoto kuonyeaha sura zao
2026-11-01 14:39:40
2
umm hassan :
Ati anifunfishe kupeleka gari, anamlazimisha aseme amelawitiwa
2026-11-01 14:24:41
5
Abu Beda :
Inshaa Allah Allah akawashinda coz jana kuna live nilipitia wakisema hi case akishinda eti kuna nyegine ya Nabili eti alimshikia muhidi panga yani hawa watu mahasidi duh
2026-11-01 12:00:43
5
Mama Lao :
so huyu mama alikuwa ana mjuwa jamaa wa tuktuk ndio akasema watam report.
then akukuwa na watu engine warned vile jamaa yuamfanyia huyu mtoto
2026-11-01 15:29:01
3
Shazad hamza :
forensic to be done
2026-11-01 14:56:33
2
Majid karama jeizan :
clip ya kwanza niliskia alisema barka na hii anasema Barclays. hii nayo ni vipi
2026-11-01 12:34:59
5
Dijah💕 :
justice for Nabil
2026-11-01 11:37:13
8
Real_gentleman :
2026-11-01 11:53:10
6
Mat’am Aazym :
atamfanya vp akimfundisha kupeleka yaani 2 things kwa pamoja afundishwe tuk tuk yaenda na huku anafanyiwa hicho kitendo it doesnt make sence🥺
2026-11-01 13:55:45
3
mima :
mbona bas Nabil awache tuktuk yake aende
2026-11-01 12:54:12
3
A🤴🤺 :
يا أيها الذين آمنوا إن جاءكم فاسق بنبإ فتبينوا أن تصيبوا قوما بجهالة فتصبحوا على ما فعلتم نادمين
“Enyi mlioamini! Akikujieni mtu mwovu na habari yoyote, basi hakikisheni (kwanza), msije mkawadhuru watu kwa ujinga, na mkawa wenye kujuta kwa yale mliyoyafanya.”
2026-11-01 13:29:53
6
Bocha67 :
mtoto anazungumza kama ameambiwa nini aseme. body language says it all.
2026-11-01 13:08:46
3
👑 IRON LADY 👑 :
series part 4 iko netfli
2026-11-01 11:34:30
0
abdulrahmanooff :
Binadamu wamekuwa wabaya sana siku hizi kumsingizia mtu mwenye Hana hata hatia yoyote inshaalah kama ni ukweli mungu atatowa haki, mk. Stop this.
2026-11-01 12:13:09
6
nuaima 5 :
mtoto abbaika hajuwi kusema
2026-11-01 16:09:35
1
The boy :
Vile Kesi iko kotini Kwanini tusiachie mahakama ifanye kazi yake na kutoa uamuzi
2026-11-01 15:45:17
1
user7477590549478 :
Allah Hakim .mazungumzo hayana uzito
2026-11-01 11:35:13
4
X0x0._ :
2026-11-01 11:43:57
4
khadija k :
atasema kivp jamani tumuogope mungu
2026-11-01 13:41:37
1
SAMARITAN :
hasbiyallah waneemal waqil 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-11-01 12:50:55
1
To see more videos from user @mesh.abdulrazak, please go to the Tikwm
homepage.