@youngsayeed: PART 6 Mchungaji uso kwa uso na Young Sayeed....!! Fuoni Zanzibar...!! MADA; MUNGU WANAOMUABUDU WAISLAM NA WAKRISTO YUPI SAHIHI?

Y҉o҉u҉n҉g҉ ҉S҉a҉y҉e҉e҉d҉ 🔷
Y҉o҉u҉n҉g҉ ҉S҉a҉y҉e҉e҉d҉ 🔷
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 11:45:59 GMT
22870
1911
100
114

Music

Download

Comments

mamaibtsam1
MAMA👊IPT-SAM :
Wagalatia hiii 👋
2026-11-02 16:46:31
0
neydosh
Neydosh🌸 :
YESU KRISTO NI MUNGU na naruhusu challenge…njoo na maswali yako ukiwa umesoma 1. Mwanzo1:26 ili ujue kuhusu utatu mtakatifu kabla kuumbwa kwa mwanadamu 2. Yohana 5:18-30 3: Yohana 14:1-9 na maliza na Mathayo 28:18-19 uelewe Yesu Kristo mwenyewe aliagiza watu wabatizwe kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu
2026-11-01 18:08:00
3
eric057648
Eric05 :
changamoto amna ufahamu na amjuhi kutafakari neno alfu mnakurubuka lakn ipo siku mtajua kweli nayo iyo kwelitawaweka huru lakn bdo amjachelewa kuishi katika pendo la kristo kwa yesu kuna amani kwa yesu akuna umaskin akuna magonjwa na amtakuwa watumwa tena wa dhambi bali mtapewa nguvu kuishinda dhambi tamaa zote za kidunia mtazishinda mkipokea yesu anawapenda
2026-11-01 12:22:08
2
abdulraufaliramad
Abdul :
Waislam Takbir
2026-11-01 14:00:36
14
musazo2
BILLIONEA 🤪 :
leo mm wa kwanza shekh wangu
2026-11-01 11:48:55
14
user4228179726735
user4228179726735 :
Yesu ni Mungu isaya 9:6
2026-11-01 16:23:33
2
user39850077921734
d❤️ :
alla akujaze kheri
2026-11-01 11:54:55
3
user3193496212431
D.Olmo.20.fans 🏆⚽🏆 skulls :
umejuwa kumshika ongera yako shekhe
2026-11-01 11:56:05
7
daily.motivation.t8
Daily Motivation 💪 TZ :
uzuri tunamjua anaetaka kulia 😂
2026-11-01 17:33:37
4
nadeem_zbar
Ali nadeem :
ttz nae akafanyika mwili [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mwisho apo
2026-11-01 12:10:48
3
user8844460147744
Alley :
mzee wa yohana 1:14 😅😅
2026-11-01 13:51:16
4
seif32260
babson :
shekhe mwambie huyo mchungaji lipo neno yesu anawambia niabuduni mm yesu
2026-11-01 13:37:28
3
officiallikopa
likopa msanii :
mchungaji atupe andiko bhn
2026-11-01 13:06:17
2
ramhikhan.ramara
RAMSH KHAN :
pastor ashaanza matusi 😂😂😂😂
2026-11-01 12:01:03
3
fbijb.mxomi
꧁ঔৣ☬F.B.I HUNTER☬ঔৣ꧂ :
🙏🙏🙏
2026-11-01 12:02:17
2
aysheral.henna
🦋isher-Al-hennah🦋 :
Mbona pasta unaongea kupita kiasi jamani 😂
2026-11-01 12:58:36
3
ibrahim_agents28
Ibrahim Agents :
kaka Badoo upo Zanzibar
2026-11-01 18:25:38
1
hapsa.adi
hanyy :
2026-11-01 13:55:24
2
halidi.yusufu24
halidi yusufu 🇹🇿 :
huyo jamaa sijui 🤷
2026-11-01 16:38:52
1
mahmoudmbonde7
₩€¥ KID💫 :
takibiliiii🥹🥺
2026-11-01 14:24:31
1
yunswhiter
White :
😂😂😂😂😂
2026-11-01 13:41:36
1
ashilafathuman
ashilaf A :
🥰
2026-11-01 13:45:22
1
miraji12344
hassan112 :
next
2026-11-01 11:53:03
1
user8813844288721y
user8813844288721yusra :
Allah
2026-11-02 09:30:32
0
eddy15085
Eddy150 :
Hakuna mahusiano yoyote kati ya Kristo na UKRISTO: Kristo sifa ya Yesu: na wala hakuna sehemu Yesu kajihusisha na Ukristo!!
2026-11-02 11:13:10
0
To see more videos from user @youngsayeed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About