@nissah308: TUNDUMA -DSM MAN LA MINESO HILI NI LA MVUA NA JUA NA VUMBI #kataramaluxurybus #bushostesstanzania🇹🇿 #viral @👑𝐋𝐈𝐅𝐄 𝐎𝐅 𝐁𝐔𝐒𝐄𝐒🚍 @Abdulrahman Rashid @Rasheed Nyari's @ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 @All buses tz🇹🇿 @busbora_digital
nishawambia hizi MAN zitawaua niza moto vby sana nazielewa
2026-11-01 17:54:45
7
Kwere Boy....TZ✌️ :
la mitago[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-01 14:32:04
1
Kelvin Sanga :
tatizo newforce zipo nyingi jaman kuna zile za maelekezo alafu kuna zile za biashara sasa anayoipita ni ipi....!? ya biashara au ya maelekezo
2026-11-01 19:02:29
2
The transpoter :
mega lipo mbele lisha megaa sufuria😎
2026-11-01 15:20:42
3
arnold mondesti :
😂🤣🤣 family nataka nipande ilo jamani mbona kila nikipanda katarama kwenda bk sikuoni au siyo bahata yangu😂😂
2026-11-01 13:35:49
0
sheby@@£ :
mbona good sijamuona jamani
2026-11-01 15:46:43
0
Dominic petty :
gody alele Yuko wapi bwashee
2026-11-02 22:06:09
0
vertas_farm_sea_products :
Kwa Io umetuhama Bila Kuaga[Tears of joy]
2026-11-01 17:10:51
0
💫rahim scania🇹🇿🇰🇪🇿🇦🇺🇬 :
ndan ya man
2026-11-02 10:23:40
1
abuu 🤬🤬🇿🇦🇿🇦 :
man Kwa stop engine niatali uyo anashuka Bila kutumia break
2026-11-03 12:50:41
1
PESA NOW 🛠️ :
Ila stopper ✅🙌
2026-11-01 13:16:58
1
Wairaq boy :
mrembo Nissah
2026-11-02 21:06:11
0
jamaa_la_mipango tz🌴 :
ZINABONDWA TU🔥
2026-11-01 13:24:27
3
😇🫡🇹🇿Christmas🎄💪🛣🚎💯✍️ :
Kwa heshima da Nisa😅😂😁😄...
2026-11-02 14:32:33
1
Kelvin Sanga :
alafu hii man ilimpita mega ila ikaja kuchapwa tena kabla yakufika mbeya...maana pale mbali ilianza happy nation. ikafuata bahari beach ndio hiyo man ikafuata ikiongozana na abood
2026-11-01 19:10:49
1
Kelvin Sanga :
kama ni leo man ilichapwa hata kabla yakufika mbeya.... mapema2
2026-11-01 19:11:34
0
kidoz dop :
kaliwa utam
2026-11-01 13:04:37
1
Anonymous :
Masters Fabricators KE
2026-11-02 12:54:36
0
Anord Michael :
kataram bado kwa Mega io ligi aliweza sauli tuu
2026-11-05 00:59:40
0
DiScOvEr DEE🍁 :
i
2026-11-04 09:25:49
0
Js Js :
yani hiyo upewe maelekezo au mungozo hiyo haina usifananeahe machuma na magari
2026-11-03 18:07:36
0
Kadgo mnyama :
Uyu Ellia shalo au
2026-11-02 15:31:07
0
Abby Issah Nzego :
mai wetu yulee namuona hapo mbele
2026-11-02 10:06:07
0
To see more videos from user @nissah308, please go to the Tikwm
homepage.