@siasatz: Lema amewataka wanaharakati uchwara waache kujiona mashujaa wakiwa Ulaya na kuwaona wenzao waoga, Waje Bongo watangaze maandamano wakiwa hapa. Subscribe YouTube Siasatz30 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30 #LemaAnatemaNyongo

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 12:35:25 GMT
67246
2292
175
130

Music

Download

Comments

user4703441420441
alice :
sasa angekuja wasingemwacha hai amejirinda
2026-11-01 13:34:50
11
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Rema sio mnafiki
2026-11-01 13:03:36
47
kevinmasero3
kevin masero :
Mwandambo 2[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 15:10:23
0
mwawalifetime
lee-don-work :
huyo ndo mwanasiasa hakuna kupapasa macho waje huku wapambane
2026-11-01 14:51:45
34
nurdinsnowpa
🌞~✓~🐬 :
CHADEM WOTE HUYU NDO YUPO TIMAMU ANAJUA ANACHOFANYA BILA MADHARA YAKE NA WAFUASI WAO💯💯
2026-11-01 13:35:03
32
bluetanzanite_
Blue Tanzanite Stationery :
Good explanation
2026-11-01 17:39:22
0
mrmotajiri
Mr Possible :
Huyu sasa ndio mwanasiasa achana na hao wanaharakati wa nje
2026-11-01 13:58:14
39
joseph.john540
Joseph John :
Katika siku ambazo nimekuelewa mkuu ni hii siku
2026-11-01 13:44:08
23
jmm123333
Konzi Jr :
Looks like Lema is going back to his senses. Big up Mangi, sijawahi kukuelewa before lakini leo umeongea point.
2026-11-01 19:26:33
0
chosen.one2683
chosen one :
kaongea kwa hasira 💯💯💯
2026-11-01 12:42:39
16
msangule12
Omary Msangule :
kweli Rema Hao wanafiki tu
2026-11-01 12:48:36
20
hajiramadhanjr
Hajji Ramadhani :
watu wa chadema bana,sometime yes sometimes no!!
2026-11-01 15:19:25
2
evaristmunael
Evarist Munael :
kuna tofaut kat ya mwanasiasa na mwana harakat broo respect sana nmekuelewa mung akupe maisha maref umeongea v2 vya kwl kabsa
2026-11-01 14:22:30
12
user4680843637960
user4680843637960 :
tuliwambia wanaharakati hawafai hamkutuamini kikowapi
2026-11-01 13:27:05
12
user4194812048580
comred :
Good job 👍
2026-11-01 18:24:19
0
meck.aluminium.ma
Meck Aluminium :
mwanasiasa yeyote anayesema wanaharakati waje hapa sijawahi kumwelewa anamaanisha nini, wa nje wawepo na wa ndani wawepo msukumo utokee pande zote mbili
2026-11-01 15:32:05
0
profesamakame
PROFESA MAKAME :
higup brother
2026-11-01 16:18:23
0
michaelkiroya34
michael kiroya :
The meaning ya mpinzani na siyo mwanaharakati uchwara
2026-11-01 13:13:46
7
izackdaniel39
Danielisaac :
LEMA AMEONGEA POINT ,,YUPO SAHIHI KABISA
2026-11-01 16:10:29
6
mashili6
Gemini :
we jamaa unajielewa sana
2026-11-01 14:30:37
5
alvez.og.38
Alvez OG 38 :
Vita inapiganwa na Watu Walikuwepo Vitani pia na Wasiokuwepo Vitani.. Tunaona Ata Kwenye Movies za Kivita Sio Kila Mwanajeshi anaenda Kwenye Uwanja wa vita,Kuna Watu Kazi yao Kuangalia Tu na Kutoa Information.. huyu Jamaa Sio Mwanachadema tena😂😂😂
2026-11-01 20:51:12
0
user52381483222290
Adbeidotti :
nampongeza sana huyu mwamba hakika ametuamshaa akiliii tusidanganyike tuopendeni nchi yetuuu safi sana LEMA wewe ndioo mwana harakati halisinunaongeaa ukweliii mtupuuu safiii ningekuwa na Mtoto wa kike ningekuozeshaaa kaka naomba namba yako nikupe saalamu kak Wala wewe sipo chawa kaka wewe ni mkweeliiii safiiiiiiii
2026-11-01 17:56:33
4
nick.pack07
nick pack :
mi nakkubal we jamaa
2026-11-01 19:08:00
2
abdulbach2858
abdulbach2858 :
maji na mafuta yameshaanza kujitenga
2026-11-01 15:48:47
4
ali.malingumu
Ali Malingumu :
safi sana
2026-11-01 13:55:07
3
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About