@devotajs: Replying to @dovesnf Chosen one kuna Mabadiriko mengi sana baada ya kuamka kiroho #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 12:48:36 GMT
14344
1435
130
62

Music

Download

Comments

samirastylsh
Samirastylsh :
Moyo wangu naona wa baridi,sina hasira,moyo hauumi,yaani moyo hauchoki,sijisikii kuchukia wala sina kinyongo
2026-11-01 13:09:26
19
goodluckgodwin78
mpemba :
najiuliza hivi nikiwa naweka umakini wa kujitambua najiuliza mbona najiona napungua bila kujua
2026-11-16 09:56:10
1
mercy.jastini
Mercy Jastini :
sitaki wageni mimi yaan nipo mwenyewe mwenyew
2026-11-25 08:18:31
1
maina.the.winner
MAINA VISION BUILDER :
Yani dada devota unaongea ukweli mtupu[Twin hearts]
2026-11-01 18:12:38
5
nyaboke824hope
Jobsunshine✍️💐🧘🧘😜 :
mm mbona nasikia miguu yangu nikama Kuna vitu ndani vinatembea aki mm ni chosen one lk mbona nasikia hivi
2026-11-01 13:25:58
0
nasmashaaban222
Naah :
Naomba nisaidie hii dada devota ,me nimepata habari zinasambaa kwa familia kuaa nimeenda kwa mganga kutaka utajiri wakiwa wanadai nitaua ndugu na watt
2026-11-06 11:56:16
1
zebuuh.pretty
zebuuh pretty🫀🚫 :
mimi kunasiku nikiamka asubuhi naiyon iyo siku kama nishawahi kuiishi vile hiv kwanini inakua hivi
2026-11-24 18:20:11
1
alicebab25
user5337679050052 :
dada nakukubali sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-15 19:23:00
1
mamakejay.classic
Mamake💞💞Jay🫂😘 :
Asante Sana Kwa mafunzo dada
2026-11-09 11:31:24
2
monikaasedi680
Monika Asedi :
Ni kweli kabisa
2026-11-10 10:46:51
1
sangasanga70
Mwana wa Sanga :
ndo nipo kwenye kuuliza maswali nina maswali mengi
2026-11-19 21:31:30
1
siboleocadie
Sibo Leocadie :
asante'asana'mamayetu
2026-11-09 18:34:47
1
winnie.w.awaken1
W.w.peace e awaken💧 :
ukweli dada unaomba sana mungu 🙏 unabadilika TU from no where
2026-11-01 14:23:21
7
womanofprayerministry5
woman of prayer :
ni ukweli mtupu 🙏🙏🙏❤️❤️
2026-11-19 08:10:06
1
nancymusa6
Nancy Musa6 :
n kweli kabisa
2026-11-10 09:50:56
1
user5042272508627
daudi komba :
mmmmmh!
2026-11-03 15:29:36
2
sangasanga70
Mwana wa Sanga :
kipindi cha kutoa misaada naona kishapita sasa du . jaman
2026-11-19 21:32:09
1
sangasanga70
Mwana wa Sanga :
najiamini kwa hasilimia mia
2026-11-19 21:30:41
1
user3873162701416
praxy :
Kweli kabisa
2026-11-06 13:51:56
1
abigael.nyangi
Abigael Nyangi :
kweli kabisa Aminaa
2026-11-08 14:09:58
1
user26911520717196
motinese :
Mimihapa
2026-11-15 16:28:28
1
amneh6376
Amneh :
Mi sipendi watu😌
2026-11-09 21:07:19
1
rosemarykitololo8
Rosemarykitololo :
ubarikiwe Mimi ndungu waliniondokea nime Baki peke yangu wakasema unakaa peke yako utazikwa nani sahii nasikia vizuri Niko huru
2026-11-02 05:37:08
2
blacktz..official
Black sheep..world💥💫💥 :
dada usisahau kuwaambia lazma upitie mapito mazito magumu mpaka kila unae muona mbele yako unamuona ni mbaya una muona ni yuleyule tuu ndo mwanzo wakujitenga na wanadam
2026-11-01 19:08:53
4
zaid.athuman4
Zaid Athuman :
unajua mpaka sana maadam
2026-11-02 07:06:14
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About