mi nikiacha ivyo nguo za mtu zikalowa uwa nakosa amani aswa nikimuona
2026-11-01 15:51:57
46
mama leon :
Mm siwezi kumfanyiya hv yeye abaki na ubaya wake mm hata nguo ikidodoka naokota narudisha kwenye kamba nakama imechafuka naisuuza tu
2026-11-01 16:11:52
6
the dijjah 🎀 :
hizo ni zangu kabsa kuna siku niliwambia nguo zangu sitak mtu akuse ndoo hivyo 😂
2026-11-01 15:03:14
20
Janice 1234 :
Mimi nikiwa chuo Kuna kadada kalikuwa kajidai karembo hakasalimii halafu kana mtoto ,Sasa siku moja mwanae akang'oa kucha akawa analia na dada wa kazi mdogo haelewi anashangaa afanyaje mm nikaona huruma nikambeba mbio dispensary wakakata.ile kucha na kuweka dawa tukarudi nikawaacha badaye nasikia hodi ,dada za sahizi Asante kwa kumsaidia mwanangu nikamwambia usijali nisingemwacha na ilihali nipo
2026-11-01 16:44:29
1
linahgirl7 :
Ubinadam huo ata mm sina😂
2026-11-01 16:12:49
1
linah chamy :
wema huooo.sinaa
2026-11-01 15:55:17
1
chef Anitha :
ivi mnaamini mshahara wangu wa mwezi huu ushaishq?🤣
2026-11-01 16:36:14
1
zuuamishan :
yaan wew Kam mim akileta bwai na mim Nampa bwai
2026-11-01 15:17:52
6
madam G collection 👠👗💄👜 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣embu niache leo nimemuonea huruma nimezianua cos ni nguo za mtoto wake za shule
2026-11-01 15:24:45
6
Rehema :
mi uwa naanuaa na nazipeleka chumbani kwangu kama ayupo akija nampa nguo zake nikiziacha uwa sina amani
2026-11-01 16:00:18
1
scolar unique :
😂😂 nilijua ni mim tu mwenye kinyongo
2026-11-01 16:15:58
1
Magreth Willium :
Hata Kama mwepushe shetan zianue tu
2026-11-01 16:48:45
0
naffy_mo :
Yaani ni tabia yangu kuna mtu anajifanya ana kisirani na makasiriko Mimi huwa naziangalia tu
2026-11-01 16:44:52
0
Doreen Willbard :
yes sasa mtu anisalimii afu mimi niwe na shobo yanini😂😂😂😂😂😂😂😂