@mkakamweus2: "Mimi Huwa najifunza zaidi Kwa Matajiri wale ambao utajiri wao umedumu vizazi Kwa vizazi, Kuna tajiri mmoja aliwahi kuniambia kampuni yao ilianzishwa mwaka 1950 huko na mpaka Sasa ipo na inazidi kukua Kila siku. Natamani hata Mimi siku Moja nipate watoto Warithi Mali Zangu waendeleze nitakapo Ishia" Amesema Mtangazaji Millard Ayo akiongea Dozen selection Ikumbukwe Millard Ayo Kwa Sasa ana umri wa miaka 43 na ndie Mmiliki wa kampuni ya Ayo Tv #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
ebu tuwe serious jamn leo ni November, mwaka unaisha na hamna chochote nimefanya🥹🥹
2026-11-01 15:24:16
136
Miss melikizedek :
mimi najitolea kuza nae jamani nampendag uyu kaka
2026-11-01 15:14:48
43
Rachel Yohan :
pole Sana brother
2026-11-01 16:40:32
0
Hawa💕💞 :
sas millard ayo tunafanyaje maana unavotaka na mm nataka
2026-11-01 18:41:38
12
Frank Mwendwa :
kwel mungu hakupi vyote
2026-11-01 16:43:49
11
Tinah Shayo :
mhmmmm pole sana
2026-11-01 17:20:37
0
Jane Ngowi :
mbona ana watoto millard ayo
2026-11-01 17:44:28
4
Cpfi :
sisi tupo wakumzalia
2026-11-01 13:28:26
9
Angel :
mungu yupo kila jambo Lina wezekana kwa wakati wake mungu ata kushangaza kwa namna yake endelea kumuomba mungu na ku uombea uzao wako hata kama uja pokea Bado mungu aka ufanye ukawe wa baraka kubwa 🤲🤲
2026-11-01 13:29:27
43
sultan saidsaid :
iyo ni kanuni ya dunia upande wa matajiri huchelewa sana kupata watoto mfano trampu alipata mtoto akiwa na miaka 58 iyo ni kawaida kabisa.
2026-11-01 14:01:00
9
💍𝑰𝒕'𝒔 𝑺𝑮🦅 :
watu wanalilia familia wengine wanatelekeza ila life dah
2026-11-01 17:39:52
11
user3706186831747 :
nawakumbusha to imebaki perid moja tumalizie mwakaa😃😃
2026-11-01 17:03:08
7
mary kisura :
Nikajua mm tu nisie naela ndo nahangaika kupata mtoto nikajua ukiwa nahela unaenda kupandikiza2 unapata mtoto jmn mungu wangu atuone tunao hangaika kupata mtoto tunapitia mengi sana😭😭
2026-11-01 19:19:52
1
✨ @VibeWith_Grace 🇹🇿 :
utapata amini Mungu ni mwema 🙏
2026-11-01 19:27:07
1
Jenny~beauty saloon 💇♀️💆♀️ :
Niko apa my friend
2026-11-01 15:29:57
1
calis67 :
kwani kuna aliyemkataza?
2026-11-01 18:48:05
0
💋Mr and ms🧡 :
😂😂😂😂😂😂😂 nicheke mie
2026-11-01 17:17:52
0
Ramla :
inamana atuoni au 😂😂😂😂
2026-11-01 14:20:21
0
Suzan de Grl🥰 :
mpka Sasa hauna mtoto? 😳 nmekusikia tangu kwenye radio ya nyumban Hadi nikaja kukuona Kwa TV live 😂 mi nae nasomesha 😂😂
2026-11-01 19:01:03
0
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-01 16:07:47
1
Ma Alvin :
nawakumbusha tuu imabaki period 1 tufike januari. mungu amtangulie
2026-11-01 17:47:46
2
amina dada :
kwan huyu ndio boss mwenyew jmn naulizat
2026-11-01 17:51:22
0
jamilaabdallah219 :
utapata miradi amina
2026-11-01 15:54:24
2
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.