@massoudkhaifan: Maisha ni safari ya kujifunza na kujirekebisha. Hakuna aliye mkamilifu, kila mmoja ana mapungufu yake na mambo anayojutia. Lakini uzuri wa rehema za Allah ni kwamba bado anatupa nafasi ya kutubu, kubadilika na kuanza upya. Usikubali makosa yako ya jana yakufanye ukate tamaa ya kuwa mtu bora leo. Shukuru kwa neema ulizonazo, jifunze kutokana na makosa yako na usiache kujitahidi kuwa bora zaidi. Maadamu bado unaishi, bado una nafasi ya kujirekebisha. 🥀 #mahdankhaifan #foryoupage #foryou #viral