@dr.johnson.aman: Zekaria 4 6 Akajibu akaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi. 7 Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie.
Dr Johnson.aman
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 13:21:35 GMT
Music
Download
Comments
Meenaeva :
Mungu nimwaminifu sana Nina ushuhuda Kuna somo lilinisumbua ana nikali carry haikutosha nikafanikiwa kuingia Ue mwaka mwingine na Bado nikalisapu Yesu asie lala amenisaidia kuondoka sapu hiyo nasubiria Graduation yangu mwezi wa Kumi na mbili ashukuriwe sana Mungu asiyelala Wala asie sinzia ☺️☺️☺️🙏🙏🙏
2026-11-02 08:46:30
65
baeaneth 🦋🦋 :
Sijakutana na hii video kimakosa 🥺 ee Mungu nikumbuke na mm niendelee na chuo
2026-11-02 18:37:04
77
unstoppable lady gee🥰 :
Niliwai pitia hii situation nakumbk kabla ya matokeo kutok moyn mwangu nilikuwa nasikia saut nmefaulu na hata ndot nilikuwa nait nmefauru , na ghafla matokeo yakatok nnefeli nililia sana lkn ndan yang ile saut ya kusem nmefaul haikuacha, nikamwambia mama yangu nmefel natakiwa kurudia kusoma hili somo mwez wa 4 mama alinambia rud nyumbn maan ulikuwa ni mwez wa kwanza nmerud nyumbn nilikuwa sina raha mm, na mama yangu aliliona hilo ndp aliharik wanamaomb wenzioe nyumbn walinifanyia maomb ndy ktk maomb wakapat majibu kuwa niliandikiwa kufauru lkn kweny ulimwengu wa roho kuna watu walizuia ufaur hui hv nilifelishwa , ndy nikaambiwa nilikosea mahal ambp nilikuwa nawaambia wenzang mipang yangu ktk masomo hv nikaambiwa mda unaofuat nisirudie makosa hah nijifunze kunyamaza hv mm nikaelewa na nikawa chini ya maomb nikarudia hilo somo nililoferi lkn Mungu ni wa ajab na ninashangazwa na matend yak yaan nmefauru vzr mno lile somo tofaut na nilivyokuwa nmepanga, Jina la BWANA lihimidiwe milele na milele Amen 🙏🙏
2026-11-03 21:25:29
12
princes flory🤍 :
mimi ndo napitia hiyo hali
2026-11-02 19:37:02
12
🎀Beaceleste🎀❤️❤️♍️ :
Amina saaan yan huyu mchungaji mwakasege namkubali saaan Mungu azidi kumbariki🙏🙏🙏
2026-11-02 07:57:00
21
naomy :
Mungu ni mkubwa kuliko tatizo tulilonalo tuendelee kumwamini
2026-11-02 09:15:19
11
claudia :
hakika jamn Mungu ni mwaminifu.
2026-11-01 14:40:57
6
Mr Steve ✅ :
😭😭😭😭 Mungu wangu hatakam hujafanya ila utabakia kuwa Mungu kwenye maisha yangu Kuna njia umepanga kwangu Mungu Asante🙏🙏🙏🙏😥
2026-11-02 19:08:10
9
Rachel bisambi :
Nilifanya mtihanii nikawa nimetoka najua kabisaa hapa nimefalu,ila kuna mengine nimefail,nikasema hapa Mungu husika, nilirudi niliomba nilimshikilia Mungu majibu yalitoka nimefalu yotee, nikasema Yes huyu ni Mungu🙏
2026-11-11 08:48:05
3
Mollelmonica :
nimejifunza kitu,Ahsante
2026-11-02 10:31:25
6
@kelv# :
hali ninayopitia saivi.mungu nisaidie🙏
2026-11-13 10:29:08
1
Neema 🌹🌹🌹 :
Mungu ni mwema jamani hajawahi kutuacha mi pia niliwekewa carry over masomo yote nane yaani nilikuwa nalia kila siku nimehangaika miez 6 lakini Mungu ni mwaminifu hatimaye matokeo yamerekebishwa vizuri mwez wa 10 uliopita
salute to God♥️♥️♥️♥️
2026-11-09 19:40:59
2
Aiem-Glaciery🧸. :
mungu wa mbinguni nikumbuke na mm pia na roho ya kufail naikataa.
Amen.
2026-11-10 18:49:23
2
GLORY❤️🩹🌹 :
Eeeh Mwenyezi Mungu naomba unikumbuke na mimi nakataa hii Hali ya kufelishwa sap na carryover na discontinues
2026-11-10 11:03:10
2
benson :
mungu nami atatenda sitofeli wala kufelishwaa
2026-11-08 21:36:34
2
user6839682543477 :
ee mungu Kwa Imani naona nimefaulu naomba unithibitishie Kwa neema Yako niendelee na masomo hadi nimalize level six amen,
hizi supp nazisapua Kwa jina la yesu kristo amen
2026-11-09 10:30:08
2
Jemmy :
Mungu ni mwema 🙏🙏
2026-11-02 06:31:46
5
Edson Edgar :
Ni maumivu sana ila MUNGU ni mwema
2026-11-03 20:02:04
2
jock :
Amen 🙏
2026-11-07 09:39:13
1
loniee💯💯 :
eeeh , Mwenyez Mungu naomba kanijibu maombi yangu kupitia ushuhuda huu🙏🙏🙏
2026-11-05 08:10:10
2
saby girl :
MUNGU n mwaminifu kwa ahadi zake si kama wanadamu.
2026-11-04 22:36:21
2
joline :
nilikutana na vita ya namna hii chuo Mungu alinishindia kumbe kulikuwa na shida kwenye max za course work namshukuru san Mungu alinivusha
2026-11-03 20:07:45
2
miss jac :
kupitia ushuhuda huuu nakuomba mwenyez mungu kafanyeee muujiza ktk mwak huuu wa tatu mi Ni wa juuu n xibchini Tena katk jin la yesu
2026-11-06 04:00:45
2
apothecary😒😒 :
ni mm kabisa 😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-03 12:28:07
2
Edson Edgar :
MUNGU wa Ibrahim Isaka na Yakobo uwe pamoja nasi
2026-11-03 20:10:49
2
To see more videos from user @dr.johnson.aman, please go to the Tikwm
homepage.