@maishayawatakatifu: Historia fupi ya Siku ya Marehemu Wote (2 Novemba) Siku ya Marehemu Wote ni siku ambayo Kanisa Katoliki huwaombea waamini wote waliotangulia mbele ya haki. Kanisa linatukumbusha kuwaombea marehemu, kuwaenzi na kuendelea kuwa na matumaini ya ufufuko na uzima wa milele kupitia Yesu Kristo. Ni siku ya sala, tafakari na kumbukumbu ya wapendwa wetu waliotutangulia. Ee Bwana, uwapumzishe marehemu wote mahali pema peponi. Amina. 🙏
MAISHA YA WATAKATIFU
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 13:34:09 GMT
Music
Download
Comments
blessed :
continue resting in peace until resurrection morning my beloved departed soul🙏
2026-11-01 20:10:59
0
Deraso :
Eternal rest grant unto my Dad, O Lord, and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace. Amen. 🙏❤️
2026-11-01 21:42:59
0
selina ♥️♥️ :
kwa maombez ya mama bikira maria nawaombea marehem wot walio tangulia mbele za haki wapumzike kwa amani 🙏🙏
2026-11-01 20:02:08
3
Goreth❤️ :
Kwa maombi ya mama bikira maria nawaombea walotangulia mbele za hakim wapumzike kwa aman amina😭🙏🙏🙏
2026-11-01 21:37:06
1
serah wanjiku :
🙏🙏🙏
2026-11-01 14:09:01
2
🎀𝓐𝓲𝓮𝓶 𝓿𝓮𝓮🦋 :
Pumzika kwa Amani baba angu na kaka zangu na dada angu Mungu awalaze mahari pema peponi
2026-11-01 21:34:59
0
Elizabeth Lasway :
Raha ya Milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani🙏🏻
2026-11-01 20:41:12
0
nicca's :
pumzika kwa aman mdogo wangu proo
2026-11-01 21:08:40
0
franksamwel281 :
wapum zike Kwa amani 🙏🙏🙏🙏
2026-11-01 20:04:42
0
Mystic_wayne019 :
Roho za marehemu wote wapumzike kwa amani,Amina.
2026-11-01 20:49:31
0
Bongeclassicwear :
Pumzika kwa Amani wazazi wng na dada zangu 🙏🙏
2026-11-01 21:16:48
0
Y.Mang'ombe :
pumzika kwa aman baba angu mungu akulaze mahali pema pepon
2026-11-01 20:39:36
0
Annitha :
wapumzke kwa Amani mama angu kipen
2026-11-01 19:57:23
0
Mummy :
Amina
2026-11-01 20:13:12
0
Flora Temu :
pumzika kwa amani mama yangu baba yangu kaka yangu na mwanga wa milele uwaangazie
2026-11-01 19:56:29
0
SMART FURNITURE O1 :
Upumzike kwa amani Mama mpendwa!
2026-11-01 19:59:07
0
Elizabeth Ismaili :
amina
2026-11-01 20:24:03
0
rwegasila tumwe :
wapumzike kwa amani
2026-11-01 18:10:14
0
teddy john :
Upumzikeee kwa amaniii baba angu kipenziii😢😢
2026-11-01 19:39:48
0
lethicia shay :
amina
2026-11-01 19:54:00
0
Tunge MJ :
wapumuzike kwa AMANI.AMINA
2026-11-01 19:46:58
0
Mrs A :
tunakumis sanaaa baba yetu wanao tunapitiaa wakati mgumu hadi leo...... pumnzika kwa Amani 😭😭😭😭😭
2026-11-01 19:44:23
0
Katerina :
pumzika Kwa amani
2026-11-01 19:43:43
0
maryam seif✨🌹🦋 :
Wapumzike kwa amni
2026-11-01 19:43:23
0
あかさたなはまらやらま、らあ :
aaamin
2026-11-01 19:59:07
0
To see more videos from user @maishayawatakatifu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.