@bil_hikma: ...Inafaa sana kwa mtu ambaye yuko kwenye wakati mgumu kwa sasa. "Usichoke kuvumilia... Malipo ya uvumilivu wako yako njiani. #BilHikma #subra #mawaidha #fyp #reminder
mashaallah nasaha njema kweli kabissa kusamehe ni kuzuri na kuvumilia 😢😢😢ingawa ni uchungu but tuweni na subra na uvumilivu kama mitume wetu walopitia ni mengi Allah atujaaliye tuzidi kuwa wavumilivu ya rabby 🤲🤲🤲
2026-11-02 17:08:38
1
kushary92908888 :
🥰🥰🥰
2026-11-03 06:27:58
1
To see more videos from user @bil_hikma, please go to the Tikwm
homepage.