@nhunggiaithoai: SHE MOVED INTO A VAN JUST TO SURVIVE IN TOKYO #VanLife #TokyoLife #JapanLifestyle #LivingInAVan #DailyLife

Những Giai Thoại
Những Giai Thoại
Open In TikTok:
Region: VN
Monday 02 November 2026 11:00:00 GMT
1208
38
1
0

Music

Download

Comments

phong.tn91
phong tàn :
[Cười chảy nước mắt][Cười chảy nước mắt][Cười chảy nước mắt]
2026-11-08 22:29:21
0
To see more videos from user @nhunggiaithoai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

يعد برج المملكة في مدينة الرياض بُعد من أشهر معالم المملكة العربية السعودية، وأحد الرموز التي تعكس التطور العمراني الحديث في العاصمة. يقع البرج على طريق الملك فهد، وافتتح عام 2002م، ويبلغ ارتفاعه نحو 300 متر ويتكون من 99 طابقًا. تتميز الواجهة الفريدة التي ينتهي بفتحة كبيرة في أعلى البرج، وأصبح هذا التصميم علامة مميزة يمكن التعرف عليها بسهولة ضمن أفق مدينة الرياض. كما يحتوي الجزء العلوي من البرج على جسر المشاهدة المصمم من الفولاذ والزجاج، والذي يوفر إطلالة بانورامية واسعة على العاصمة من ارتفاع يقارب 300 متر، ويعد من أشهر التجارب التي يقصدها الزوار في المبنى. لا يقتصر برج المملكة على كونه معلمًا معماريًا بارزًا، بل يضم مجموعة متنوعة من المرافق، منها المكاتب الإدارية والشقق السكنية الفاخرة والمطاعم والمقاهي ومرافق المناسبات، بالإضافة إلى فندق فورسيزونز الرياض ومركز المملكة التجاري الذي يضم العديد من المتاجر والعلامات التجارية. وقد ساهم هذا التنوع في جعل المبنى وجهة تجمع بين العمل والسكن والتسوق والترفيه والإقامة الفندقية في مكان واحد. ومنذ افتتاحه أصبح برج المملكة جزءًا من هوية الرياض الحديثة، وارتبط اسمه بالتطور العمراني الذي شهدته العاصمة خلال العقود الماضية. وعلى الرغم من ظهور العديد من المباني وناطحات السحاب الجديدة، لا يزال البرج يحتفظ بمكانته بسبب تصميمه المميز وموقعه الحيوي وشهرته الواسعة. ويعد جسر المشاهدة والفتحة الموجودة في أعلى المبنى من أبرز عناصره، كما أصبح البرج مكانًا شهيرًا للتصوير والاستمتاع بإطلالة المدينة، خصوصًا وقت الغروب وفي المساء عندما تظهر أضواء الرياض من الأعلى. وبفضل موقعه وتصميمه ومرافقه المتنوعة، أصبح برج المملكة واحدًا من أبرز المعالم التي تمثل مدينة الرياض، وجزءًا مهمًا من صورتها العمرانية الحديثة. فهو يجمع بين الهندسة المعمارية المميزة والاستخدامات التجارية والسكنية والفندقية والترفيهية، ويظل حتى اليوم من أشهر الرموز التي يعرف بها سكان العاصمة وزوارها المملكة العربية السعودية... #fyp #explore #yourusername

#USIDHARAU: USIPITE HAPA - SIRI YA MAJANI YA MNYONYO IMEFUNULIWA!  Watu wengi wanapita mti huu barabarani bila kujua ni DHAHABU inayotembea! MNYONYO / MBARIKA / CASTOR - Majani yake ndio dawa, majani yake ndio kinga, majani yake ndio mvuto! Tangu enzi za mababu zetu, majani ya mnyonyo yamekuwa yakitumika kama silaha ya kwanza dhidi ya maadui wa mwilini na wa kiroho. Ni muhimu sana kuwa na majani ya mnyonyo nyumbani kwako kama unavyokuwa na chumvi jikoni! SOMA HADI MWISHO USIJE UKAJUTA: 1. KWA KUONDOA NGUVU HASI, SIHIRI, MIKOSI, ZOHARI MBAYA NA VIFUNGO VYA MWILI Ndugu yangu, umejaribu kila njia bado mambo yamefungika? Unahisi mwili wako mzito, kila kitu kimekwama? Chukua majani ya mnyonyo ya kutosha, yakamue vizuri kwa maji safi au yayaponde kisha changanya kwenye maji yako ya kuoga. Oga kwa imani kubwa ukiwa unaomba dua yako. Majani haya yatafyonza sumu zote za kichawi na kukusafisha, utajisikia mwepesi kama mtoto mchanga! 2. KWA MVUTO WA PESA, KAZI, BIASHARA NA KUPENDWA NA WATU Kama wewe hupati pesa hata ukifanya kazi kubwa, hupati kazi licha ya vyeti, hupendwi na watu, una hasira za haraka zinazokufukuza wateja, unachukiwa bila sababu, au huwa unaota ndoto za kutisha na kula usingizini... Ponda majani ya mnyonyo pamoja na karafuu kidogo, weka mchanganyiko wa majani hayo kwenye ndoo yako ya maji ya kuoga. Oga siku 7 mfululizo bila kuruka. Utashangaa watu watakavyoanza kukutafuta, wateja watakavyoongezeka, na milango ya rizki itakavyofunguka! 3. KWA KULINDA CHUMBA NA NDOTO MBAYA ZA USIKU Mmea huu una nguvu sana ya kuogopesha na kufukuza nguvu hasi (negativity) na majini wabaya. Kama unashambuliwa ndotoni kila usiku, unabanwa usingizini, unaota unakimbizwa au unaona nyoka... chukua jani moja tu la mnyonyo weka pembeni ya mto wako au chini ya kitanda unapolala. Usiku huo huo utalala kwa amani kama mfalme! 4. KWA MAUMIVU YA JOINTS, GOUT, RHEUMATOID, ARTHRITIS NA MIGUU KUWAKA MOTO Wazee wetu walikuwa hawatapiki dawa, walitumia majani haya! Pasha majani ya mnyonyo kwenye moto kidogo mpaka yainame, kisha funika moja kwa moja eneo lenye maumivu na majani hayo ya moto na funga na kitambaa. Maumivu yatapoa haraka sana. 5. KWA MATATIZO YA INI NA KUSAFISHA DAMU Kausha majani ya mnyonyo kivulini upate unga safi wa majani, tumia kama chai yako ya asubuhi. Ni kisafisha ini na damu namba moja kwa asili. 6. KWA HERNIA / NGIRI / MISHIPA KUVIMBA Tumia chai ya majani ya mnyonyo kila siku, au tumia unga wa majani ya mnyonyo kijiko 1 kwenye maji ya moto. Ni dawa inayotibu chanzo sio dalili tu. 7. KWA UUME KUSINYAA AU KUSIMAMA LEGELEGE - NGUVU ZA KIUME Wanaume wengi wanateseka kimya kimya! Tumia mafuta ya majani ya mnyonyo ya asili kuchua uume wako kwa upole kutoka mapumbuni kuelekea kichwani baada ya kuukanda na kitambaa chenye maji ya moto kwa dakika 3 hadi 5. Fanya hivyo kwa siku 21, utarudi kama kijana! 8. KWA MAUMIVU YOTE YA VIUNGO NA MISULI Paka mafuta ya majani ya mnyonyo kwenye eneo linaouma na ukande taratibu mara 2 kwa siku asubuhi na jioni. 9. KWA SUNDOSUNDO / WARTS / CHUNJUA Paka mafuta ya majani ya mnyonyo kwenye sundosundo kila siku usiku kabla ya kulala, itakauka na kuanguka yenyewe bila maumivu. 10. KWA KUKOSA CHOO NA TUMBO KUJAA GESI Weka majani 2 tu ya mnyonyo kwenye maji ya moto kikombe 1 kisha kunywa. Kaa tayari, choo kitafunguka vizuri na tumbo litasafika! NDUGU YANGU, MAJANI NI DAWA, MAJANI NI KINGA, MAJANI NI MVUTO! Usikose kuwa na unga wa majani ya mnyonyo na mafuta yake nyumbani kwako leo! #255784847953 #ustadhkhalifani #Matumizi #MUHIMUSANA

About