@shalmah.maxwell: unatembea kwa mvua then unapigwa na radi waah na kesho anafaa afanye exam hivyo tuu ndio amekufa. walai form 4 kaeni home bana 🙏🙏💔#nairobitiktokers #fypシ #kenyantiktok🇰🇪 #tiktokindia #fypシ゚viral
ulijuaje atapigwa na radi..ndo ukaanza kurecord...anyway poleni sana
2026-11-01 18:16:20
124
TINSLEYTREASURE@MIRABEL🇨🇦 :
vitu zingine sio kzi ya mungu niya watu wa wivu alijua atapita
2026-11-01 17:41:26
52
cyndy :
si ata nyinyi munaona amevaa tisho ya red........kumbe ilikua ukweli.....pole kwake
2026-11-01 21:27:05
9
Diana d :
radi yenyewe iko wapy
2026-11-01 17:32:40
7
W𝐨𝐨🐶_D𝐞𝐧🦁 :
this happened in homabay county yesterday
2026-11-02 08:33:37
1
💜kemmy🍇💜 :
woiii pole nimeona fb his dad amebeba hizo nguo ziko matambara,😓😓
2026-11-02 06:35:32
28
amilo :
niliambiwa na uncle yangu nisiwai tembea kwa hio maji inateremka mvua ikinyesha kidogo kidogo juu io tme ndo radi inakuanga inatembea kwa io maji, sasa tme io radi inaruka ndo inakuchapa na tail yake,
2026-11-02 06:44:08
8
sireb :
as someone usually say pray and protect your children in all means...life is spiritual hatuwezi sema hii ni coincidence
2026-11-02 08:21:33
2
queen💕 vibez :
mbona naona kama uongo 🤔
2026-11-02 04:28:57
1
Alvin de govindah :
hii ni ile barabara ya Amkura ukiendea kwa mission
2026-11-02 10:22:41
0
❇️REDEMPTA MUTHEU 🩵🩷❇️ :
hiyo kutingiza Simu nto Radi ama??
2026-11-02 10:20:42
1
Beby ❤️moh :
ghaiii exactly what happened to my brother 2023 I will never heal😭😭I still miss that young soul💔
2026-11-02 06:08:40
5
n :
Kitu ya kwanza huyu anarecord why the specific person your recording
2026-11-02 02:03:03
2
Lovie💕 :
where was the camera man and how did he knew that atapigwa na radi
2026-11-02 07:32:37
1
Nancy :
so radi ilitingiza simu😳
2026-11-02 10:25:21
2
harrybett :
kwani ilikuwa setting 😂
2026-11-02 05:39:34
5
canny💞🌸 :
mbona ilikua unamrecord
2026-11-02 10:11:22
1
bellie12 :
Life is spiritual.. tuombe watu wangu🥹
2026-11-02 10:23:56
1
Brany Toby :
😭😭😭😭😭God why
2026-11-01 17:17:10
3
Auntyvibes 🫦🥵🔥 :
hiyo part ya radi Iko wapi
2026-11-02 04:01:29
1
AnitahAdams :
rip
2026-11-01 16:55:25
1
rexdantey :
Sorry God is over all
2026-11-02 10:23:56
0
Bwibo❤️🥰 #7/7💙♥️😍 :
kwani hangengoja mvua iishe aki
2026-11-02 08:59:20
0
zulea :
poleni
2026-11-02 08:58:58
0
To see more videos from user @shalmah.maxwell, please go to the Tikwm
homepage.