@user6628180020541:

QUEEN 🥰🥰🥰
QUEEN 🥰🥰🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 14:01:35 GMT
35074
2263
72
75

Music

Download

Comments

fidiasambala273
Fidia Sambala :
Jesus he is the saver of my lyf also he saved me from sins
2026-11-02 15:57:41
0
naominyerere050gmail.co3
naominyerere806 :
Mungu ndo Kila kitu maishani mwetu Kila anae amini na aseme aminaaaa
2026-11-02 10:00:04
26
renny162
renny_xriss :
Salvation is the key of live📌❤️
2026-11-02 15:51:16
0
mwasitiomary9788
mwasiti :
amen i get u thanks dear
2026-11-02 10:31:39
1
www.tiktokneema
Nee 2G :
Nilichojifunza unaweza ukawa unamtumikia Mungu na maisha yako yakawa safi, ila ukarudi nyuma dhambi ikakuchafua na ukiyatambua makosa yako ukatubu kweli YESU akaingia ndani mwako anakusafisha, hata wanadamu wakuchafue kwa makosa uloyatendo nyuma, Kristo amekutakasa wala hatakumbuka uovu wako, kikubwa mi kusimama na Yesu🙏
2026-11-02 14:54:40
13
herigwambaye
Ruger 08 :
End point has been attained 😂😅
2026-11-02 11:13:01
1
grace.onesphoro
Grace Onesphoro :
God remove all bad things
2026-11-02 10:56:06
1
holynessmang
baby girl 💖🥰 :
Mungu anaweza kukusamehe dhambi zako zote
2026-11-02 11:13:03
13
grevenbevinshao
greven bevin shao :
perfect
2026-11-02 11:23:38
1
user4779405688119
[email protected] :
nklichojifunza mungu ananguvu zaidi ya shetani
2026-11-02 16:30:35
1
mboyavvende
young kakaa :
after trusting jesus nothing will destroy that relation.
2026-11-02 13:59:28
2
farajtz123
farajatz :
nimejifunza kuwa Mungu anasamehe pia anasafisha kila kitu kibaya kwenye maisha yetu
2026-11-02 13:41:12
3
vee.lillicious
Vee lillicious :
ameeen barikiwa sanaa nmejifunza for sure🥰
2026-11-02 10:32:22
4
safenathpanea49
Joseph's :
Isaya 1 18 Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
2026-11-02 12:48:53
3
carees62
Rachie🌌 :
That's what it means when he says for by one offering he hath perfected for ever Bible. Hebrews 10:14 [14] For by one offering he hath perfected for ever them that are sanctified.
2026-11-02 10:33:06
1
jenifamchopa59
~chibebi~🥰 :
Kwa Mungu yote yanawezekana
2026-11-02 11:55:09
1
leahchanga297
Leah beauty salon 🥰 :
Yesu anaweza kusafisha dhambi zetu naye akiingia ndani yako dhambi haiwez kushinda tena.
2026-11-02 12:12:15
1
ellie.rg1
Ellie rg :
owh asanteeeeeee MUNGU wangu Kwa kunipenda🥹
2026-11-02 11:50:00
1
abiaantony6
Anna :
amen
2026-11-02 11:13:51
1
doriepenna
Dorie🍎Essence🌸 :
Amen❤️🥰
2026-11-02 07:47:30
1
elizabethmichael201
Elizabethjohn :
Yesu ndiye anaweza samehe dhambi zetu hata iwe ngumu kiasi gani yeye anasamehe
2026-11-02 12:25:04
1
_ajbubby
AJ :
2026-11-02 17:08:48
0
pascotz27
Pasco tz :
Amen bro
2026-11-02 15:59:14
0
user3940520203811
lioness 🦁 :
understood [Pray]
2026-11-02 16:13:35
0
emanuel.elijah.mwangake
emanuelelijahmwangake :
Nguvu ya utakaso ndani ya damu ya Yesu.
2026-11-02 16:15:43
0
To see more videos from user @user6628180020541, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About