@nyebowsa_media: Mchambuzi wa masuala ya burudani, Mr Pimbi, akizungumza na @carrymastorytv2, ameeleza kuwa machozi aliyomwaga ni ya furaha baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz kumuheshimisha kwa mara ya kwanza kwa kumlipa Dola za Marekani 5,000, sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 12 za Kitanzania. #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz #eastafrica
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 14:24:29 GMT
Music
Download
Comments
genge nation🥥🍎🥕🥒🌶️🍌 :
mm ndo maana ukitaka tugombane uniite PIMBI😂😂😂😂
2026-11-01 15:57:29
147
talented_74 :
Mtu akikwita Pimbi pigana [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 16:00:53
18
Uniforce Energies LLC™ :
Mimi nilijua tuu kwamba Pimbi anatusumbua akirudi
2026-11-01 15:57:13
73
Célestin useni Selidja fort Ma :
diamond platmuz iko na moyo safi
2026-11-01 15:03:39
34
Madame KAKULE ❤❤❤ :
Dhahh ishiii milele Diamond wetuuu 💞💞💞🙌🙌🙌
2026-11-01 16:31:53
16
Chubuadede😁❤️ :
Utajua wenyew mie nimechek 😁
2026-11-01 14:41:18
68
user884139501926 :
diomond kakaa mungu akupe maisha marefu
2026-11-01 17:47:34
9
Rama Mobile Hub :
Huyu jamaaa msanii sanaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 15:51:09
10
Kiokot£ official :
wakati wa mungu ni wakati sahihi
2026-11-01 14:30:18
76
lukasi John :
washamvunja
2026-11-01 15:35:40
10
Sasha luxe👑🧚♀️ :
😂😅😂 Mimi nimechekaaa ukuuu naliaaa bhn
2026-11-01 15:51:10
12
Designer 👑 :
Anazuga tu ila PANAUMA atasema badae
2026-11-01 16:56:30
24
🌟🌟Ashpapy__Babyyy🌟🌟 :
isia za kweli
2026-11-01 15:27:07
23
Liverpool fans :
analia nini
2026-11-01 16:21:50
3
felixpacifique513 :
mungu amulinde kaka usijali
2026-11-01 14:51:07
14
Azza :
Maskin
2026-11-01 20:46:49
0
@jovinyowbk :
alikua anamsema juzi tu
2026-11-01 15:29:56
8
Osu star :
mr pimbi [Laughing][Tears of joy][Laugh approved]
2026-11-01 18:23:05
2
DUNCAN MWAKIO :
nyota tano ndo five star hotel yani wa Tanzania kila kitu pka mugeuze kiswahili 😅😅
2026-11-01 16:41:33
5
christinakibiriti :
muacheni alie amalize machozi
2026-11-01 16:03:38
5
christinakibiriti :
Anaongea ukweli huyu mtu mnamtukana laking ana roho nzuri sana
2026-11-01 16:02:56
5
Abdillah Hamisi :
dah! kunasehemu hii nchi imetoboka mana haiishiwi vituko
2026-11-01 15:31:07
10
silvano kanyamanda :
Mimi nilizani diamond amefariki
2026-11-01 17:00:55
5
patrickmumbere701 :
mzee wa factii pole
2026-11-01 14:54:28
6
Franksammy2 Cholo :
mwijaku asion iyi vidéo 😂😂
2026-11-01 16:02:46
7
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.