@loletalksmedia: #couple #fyp #fypシ゚viral❤️ #Love

Loletalksmedia
Loletalksmedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 14:48:42 GMT
62797
3386
58
194

Music

Download

Comments

agyavenue01
Agyy🌹🌹 :
Sasa Kuna sisi tunachukiwa na mama mzazi,kanitamkia hata nikifa kwake siyo shida hapo hapo dada naye ameniambia nifute namba zake huyo atakayekuja kuniumiza ni nani tena10/10 hakuna
2026-11-01 21:10:48
5
ancillahtunje
Ancillah Tunje :
moyo. wangu. ulikufa. ganzi. hata. nayaona. kawaida. tuu. hyo. mapennzi
2026-11-01 14:55:41
4
ms_mary55
Ms_Mary💄🎀 :
Dah my situation right now🥺🥺🥺
2026-11-01 19:49:58
0
happy.cutie10
Happy cutie🥰 :
kwel maumivu yanakuja maramoja tu
2026-11-01 20:25:36
5
devote.nihorimber
Devote NIHORIMBERE :
vrement 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 siwezi sibabayike hata kidogo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-11-01 22:18:59
0
neemamanzi556
Neema Manzi :
nikweli kabisa🤣
2026-11-02 02:46:06
1
20.7.7.26
chocolate :
ukweli kaka
2026-11-02 07:45:45
0
fadhilaathuman368
Berta jacob :
amina mungu akubariki
2026-11-02 08:43:21
0
moureen.malk
Moureen Malk :
pesa ndyo inamamlaka ila sio binadamu jaman ukitaka kuondoka ondoka tu
2026-11-02 09:40:57
0
anastaziamapande
annah :
pesa tu ndo inamamlaka yakunambia utanikumbka
2026-11-02 07:35:50
0
eddi.mido
zuluhulaifat ❤ :
pamoja nakuelewa na nimeamua tu kujapa furaha mm mwenyewe na kujependa mwenyewe na nimefauluu kaka 🥰🥰
2026-11-02 05:41:19
0
jenzie23
Jannie💧 :
Tena wa kwanza kuniumiza ni baba angu mzazi😂😂
2026-11-02 05:52:06
0
umu.khadija05
umu khadija :
kweli kabisa
2026-11-02 03:29:14
0
user053142218
mariamu :
sahih
2026-11-02 08:30:58
0
agnesnangela566
Arise &shine online business :
kbsa
2026-11-02 04:18:51
0
anastasiapeter72
Anastasia Peter :
kabisa
2026-11-02 06:46:48
0
kalitaba2
𝙡𝙖𝙨𝙩_𝙗𝙤𝙧𝙣 :
🥰
2026-11-02 05:36:41
0
ancillahtunje
Ancillah Tunje :
ndo hapo. who. are. you?najuwa. mm sio. pesa. yakwamba. nitapendwa. nakila mtu. kijacho. nakije. kiondokacha. nakiondoke. mungu. atanipea. wngu
2026-11-01 19:08:22
1
vicky.tryphone
Vicky Tryphone :
kabisq
2026-11-01 20:00:06
0
oficiallymarry
officially marry :
hii inaniusu mm kbsaa maan nimeachwa bila sababu 😥😥
2026-11-01 22:10:15
0
lovely94067
💕💕lovely💞💞 :
ww ni mm kabisa
2026-11-02 10:20:02
0
suzzy.makuri
💞💞Suzzy :
mm na ww tunaweza kuwa mandug ety nimeamin ett
2026-11-02 10:46:28
0
livianwaziri
livian waziri :
kweli..kb..kaka
2026-11-02 03:13:09
0
lemmy763
LEMMY :
nimeumizwa San ila adi leo bado sijazoeya naona kama ni upya tu maumiv yapo pale p
2026-11-02 00:11:18
0
joanithaphilibert
Rinda mnkuba :
kweli kabisa Yani Kwa sasa sipendi kitu kinachoitwa mahusiano
2026-11-01 15:00:02
0
To see more videos from user @loletalksmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About