@sayyed.og.com: Ukitaka kuondoa nuksi na kusafisha nyota ili mambo yako yaende vizuri upate mafanikio makubwa katika biashara zako, upendwe na kila mtu atakae kuangalia. Tumia beti hii Adhwimu inayopatikana katika dua maarufu kama JALJALUUTI. Kwa uwezo wa Mwenyezimungu beti hii inauwezo mkubwa san wa kuondoa nuksi na mabalaa na kuifanya nyota yako iwe na nuru na mvuto wa ajabu sana. Kila biashara utakayo ifanya itaenda vizuri, pia utakubalika kila sehem utakapo kuwa. NAMNA YA KUFANYA: Andika beti hii mara 3 siku ya jumapili saa moja asubuhi katika sahani ya udongo au sahani ya bati kwa kutumia zafarani nyekundu ilichanganywa na marashi roz. Kisha sahani hiyo utaiyosha kwa maji masafi, maji hayo utayasomea SURAT NUUR mara 1 na beti hii hii mara 100 kisha utatia niya yako. Utakuwa unatumia maji hayo kuchanganyia katika maji yako ya kuoga asubuhi na jioni ndani ya siku 7 . Kwahakika ukitumia njia hii, mwili wako utakuwa mpya, nyota yako itakuwa na mvuto wa ajabu sana, biashara zako zitaenda vizuri, utakuwa unapata rizki, pia utakubalika kila sehemu kwa utukufu wa Beti hii iliyobeba majina matukufu ya Mwenyezimungu. Inshallah

Sayyed abuu shamhuurash
Sayyed abuu shamhuurash
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 15:49:11 GMT
9948
971
16
61

Music

Download

Comments

rashid.khamis.ras
Rashid Khamis Rashid :
jazaka llahu sheikh
2026-11-01 17:02:22
1
user427019504931
zulfa :
kwani qur-ani inabet, na qur-an c mashair ety jaman
2026-11-01 20:49:02
0
enah2422
Enah :
mbona haina jina la M/mungu (sw) ata moja hii dua inamuomba nani
2026-11-02 04:54:22
0
ibraa.og3
IBRAA.999 :
Zafarani iliyochanganywa kidogo na marashi roz? au
2026-11-01 16:00:00
1
user2819233627573
لا اله الا الله محمد رسول الله :
ؤنننع
2026-11-03 15:29:22
0
habibamj0
habibamj🌹🌹🤪🤪 :
Amiin
2026-11-05 14:49:12
0
luminia.chhada
Luminița Chhada :
🤲🤲🤲
2026-11-01 16:54:58
1
houry865
حواء🧕🏾💕 :
🤲🤲🤲
2026-11-01 19:22:15
1
To see more videos from user @sayyed.og.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About