@hassannajib9: Tupigeni vita mambo meengine

HASSAN NAJIB
HASSAN NAJIB
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 01 November 2026 15:56:08 GMT
13322
730
50
25

Music

Download

Comments

hudhayfahkassim
Hudhayfah Kassim :
maulidi tutaendaa , na biriyani tutakula 😂😂😂
2026-11-01 16:25:10
13
abuwjuhaymah
Abuw Juhaymah :
Maulidi nimbaya kuliko POMBE
2026-11-01 22:13:03
3
babaissaya
babaissaya :
hizo bar kila mtu anajuwa ni haramu,. lkn maulidi ni uzushi wa dini, kama maulidi hayana dalili tusiyafanye dini
2026-11-01 18:24:07
4
harounismail00
HARUNA KASA :
Maulid tunayo na yatasimama hakuna wakuyaondosha abadan
2026-11-01 19:56:17
4
user6182000273232
Shariff :
huyuu shekhe Mungu kampa hekma na busara namuomba kwa Mungu ampe mwisho mwema akifa apate shahada na afe hali ya Mungu kamridhia
2026-11-02 02:44:00
2
yasinshaban7
yasinshaban7 arch :
mashaallah mashallah
2026-11-01 20:00:21
0
fadhilmurid05
fadhilmurid05 :
tungelikua namashekh kama hawa uislam unge kua mbali sana kimafanikio shekh othman umongea allah akuhifadhi asafishemoyo wako nauongoze katika kheri amin masalafi tupo? tunasemajejuuya hili? mimi naona baadhi ya mashekh wetu wakisalafi ndio huchangia kuibomoa_ kuiharibudini na ku poromosha imani za watu nakufarakanisha uuma wakiislam ama wanasingiziwa?
2026-11-01 22:56:52
2
abuu.junyd
@ abuu junyd :
hayo ni madogo sana dhidi ya bi'da
2026-11-01 21:31:35
0
abuuazhar5
MJUMBE :
TATIZO KUJUA ATHAR ZA UZUSHI
2026-11-02 04:12:15
0
seifsalum817
Seif Salum :
Othman pole sana !!
2026-11-02 02:52:09
0
ustadh_mh_taanzila
Mwashaka Hamisi :
apo sasa
2026-11-01 20:09:40
1
jumamrisho780
J More :
Maulidini tutaenda na biriani tutakula
2026-11-01 20:01:03
2
hajicadabra
Haji Cadabra :
kwel lakin yameelezwa kabisa kama hayafai
2026-11-02 06:18:37
0
user6883925836153
Kabhi haa kabhi naa :
Kuongezekq kitu katika dini ni bid aa dini imekamilika
2026-11-02 07:07:39
0
user6708490075319
Ali Badru Suleman merali :
Kweli Kabisa. Nampenda Shekh Othman Maalim
2026-11-02 06:24:13
0
user5184480081924
mariam singh :
Ukweli kabisaaaaa sheikh lakiini wwatu hawaelewi ALLAH awape fahamu. zao inshallah 🙏
2026-11-01 18:02:35
1
bossmanyota
BOSS MANYOTA💥💪💥 :
jembe hilo Sheikh langu Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha[Perfect score]
2026-11-01 18:39:10
1
user366566792
Modh Booy :
Alhamdul
2026-11-02 05:08:29
0
hajoo5453
hajoo :
umiambiwa nibora kulewa nakuzini kuliko kusima maulidi
2026-11-01 18:23:36
0
afsheenrahim297
afsheenrahim297 :
madhehebu yatatutia motoni dalili za kiama kuebuka kwa wasomi wengi na kutupelekea motoni
2026-11-01 20:10:56
0
harounismail00
HARUNA KASA :
2026-11-01 19:55:36
0
saidinleee
saidinleee :
Hekma tupu apo
2026-11-02 05:02:09
0
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
salafi qadiim na salafi jadiid.
2026-11-02 03:09:18
0
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
watu wa fitna hao ndio maana wamwtukana wenzao mwisho wanatukanana wao kwa wao.
2026-11-02 03:08:45
0
mamta.bakar
Mama huu bakari :
maulidi nikumsifumtume na mimi nayapenda
2026-11-01 19:03:45
1
To see more videos from user @hassannajib9, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About