@jovox907: enyewe mjengo is not for the weak 😅 anyway finya ako kalike and follow for more exclusive content #creatorsearchinsights #relatable #fypシ゚viral #funnyvideos #viral

jovox
jovox
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 01 November 2026 16:12:49 GMT
23444
470
25
45

Music

Download

Comments

kikuyushem
kikuyushem :
smile yooo🤣🤣
2026-11-01 16:28:56
2
maish_youngtruckdriver
maina trucker🚛🚛 :
boyz wangu ameanguka kutoka 6th floor foreman amemwambia atufuze kutumia hiyo bypass ndio tuharakishe 🤣🤣🤣🤣saii tuko kenyatta hospital tunaorder new legs ☺️
2026-11-01 18:48:09
3
boniface_bett
Boni :
kuna siku nilianguka 3rd floor foreman akaniambia anapenda vile naendea simiti ,sijawai heal[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 20:21:47
2
mojah.mojah.sound.intl
ROYAL.AFRIKAN.HYENNA.MojahMojA :
wow foreman🤣🤣🤣🤣
2026-11-01 19:03:17
1
edwinedu822
edwinedu822 :
Kuna mwenye alinyamba foreman akamwambia unataka tuwacha kazi tukuchimbie chooo😂😂😂😂
2026-11-01 18:24:36
2
j29117
Johnnie m :
kuna mwenye alimwagikiwa na cement foreman akamwambia naunjue hakuna makeup ya bure😂😂
2026-11-01 17:27:24
2
paskari.mutunga
pascal (chairman)💰 :
mwingine amaanguka Kwa gazi foreman anasema nimekuona spiderman 🤣🤣🤣
2026-11-01 18:40:40
1
migoritwins
BABA CATE (SUBA TWINS) :
mazee mimi hata jana forman ameniona na maji akaniuliza kwani sikuizi unauza maji
2026-11-01 18:57:17
1
meliodas.bukhari
Bukhari Abdikarim :
joh ni mbaya 😂
2026-11-01 16:25:14
1
daviezvide
daviez videz :
beshte yangu alianguka bucket ya simiti ikamfunika kichwa ,,foreman yeye ni. nani amemwshow " wewe ataukuwe iron man mshahara tutakata[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] sahzi tumeenda kunmyorosha shingo[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-01 21:27:14
0
gilbertkemboi215
McMinnville Dhee Khemboi ❤️ :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Vergüenza] Kuna mjamaa hapa amekongwa na nyundo damu ikamtoka,, foreman amesema hatujafika kwa painting
2026-11-01 20:46:40
1
daviezvide
daviez videz :
Friday Kuna msee ameteguka akangukie vumbi ya simiti ,,foreman amemwshow ameanza urembo mapema[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-01 20:21:53
1
calastii3
Joccy :
🤣🤣🤣Kuna mwingine pia alisema na bibi amekaa tu kwa ploti akipeana mshene
2026-11-01 18:23:20
1
To see more videos from user @jovox907, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About